Kiongozi unafikiri Iran ni Libya, subiri muone..Mkuu, Iran inaonekana bado sana kwa Israel!
Yaani mtu anakuja nyumbani kwako anakushambulia anavyotaka na bado anaondoka salama?!
Si unampiga hata jiwe la mguu!
Yaani anaua top comenders wako pamoja na wanasayansi muhimu unaowategemea kwenye nuclear power khaa
Na nimeona taarifa aljazeera msemaji wa Israel anasema wana uhakika Iran haiwezi ku respond kwa kiwango kama ilivyofanya mwaka jana, yaani imepigwa maeneo nyeti hivyo nguvu imekata, nadhani hata kwa hezbullah unakumbuka ilikuwaje kama utakuwa haujasahau!!.
Upo sahihi kabisa. Iran kumbe ni dhaifu sana tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa.Mkuu, Iran inaonekana bado sana kwa Israel!
Yaani mtu anakuja nyumbani kwako anakushambulia anavyotaka na bado anaondoka salama?!
Si unampiga hata jiwe la mguu!
Yaani anaua top comenders wako pamoja na wanasayansi muhimu unaowategemea kwenye nuclear power khaa
Na nimeona taarifa aljazeera msemaji wa Israel anasema wana uhakika Iran haiwezi ku respond kwa kiwango kama ilivyofanya mwaka jana, yaani imepigwa maeneo nyeti hivyo nguvu imekata, nadhani hata kwa hezbullah unakumbuka ilikuwaje kama utakuwa haujasahau!!.
Kila wakati mnasemaga "subiri muone" huku Israel ikiendelea kutoa kichapo middle east.Kiongozi unafikiri Iran ni Libya, subiri muone..
Mizigo hiyo inaelekea Tel Aviv😂
View: https://x.com/currentreport1/status/1933391889845092591?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Story chache, kazi yenye matokeo zaidi
Nipo hapa Tel Aviv nawatumia pichaGod Bless Iran
zimetumwa kwanza drones kama decoys alafu zile 1000 Fatahs zinakuja
Wanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them.
================
Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na kuelekea Israel.
Uingereza, Marekani na Israel, kwa kuungwa mkono na mataifa ya Kiarabu wanafanya kazi ya kuwazuia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1933415085872906278?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw