Mtaacha lini hizi porojo zenu?? Kila mara mnasema " subiri muone"Kiongozi unafikiri Iran ni Libya, subiri muone..
Sio kama hawaelewi bali na wapumbavuNdege zinatumika kurusha makombora haimaanishi zinaenda Iran, zinaishia tu Nchi washirika karibu na Iran.
Wanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them.
================
Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na kuelekea Israel.
Uingereza, Marekani na Israel, kwa kuungwa mkono na mataifa ya Kiarabu wanafanya kazi ya kuwazuia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1933415085872906278?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ayatollah naye kaponea chupuchupu maana naye ana KAMDOMO alikuwa Ana gamba sana kuwa Israel ikiishambulia Iran Basi ataifuta Tel Aviv na Jaffa!!! Sasa kabigwa na yeye mwenyewe MOSSAD wanamtafuta wamnyoe ndevu zake!!!Ayatola ameishiwa misamiati ya mikwara sasa...