Umeshawahi kuona ngumi za watu wawili, mmoja anapiga kwa target, ana target sehem za hatari, kichwa, mapumbu, tumbo, kidevu, masikio, ila mwingine linarusha ngumi na mateke ovyo ...pigo.moja tu limeondoa magaidi wakuu wanne ...Bado tunawinda kichwa Cha KHUMANEIGod Bless Iran
zimetumwa kwanza drones kama decoys alafu zile 1000 Fatahs zinakuja
Kumbuka Iran ana makombora ambayo Israel hawezi kuyazuia.Iran hamuwezi Israel katika vita vya anga labda vya ardhini. Ingekuwa wamepakana myahudi angekuwa ameshanyolewa bila maji lakini kwa umbali uliopo ambapo unatakiwa umpige mwenzio kwa kuruka juu Iran lazima ateme bungo.
We nawe hakuna siku ulipost Cha maana .Umeshawahi kuona ngumi za watu wawili, mmoja anapiga kwa target, ana target sehem za hatari, kichwa, mapumbu, tumbo, kidevu, masikio, ila mwingine linarusha ngumi na mateke ovyo ...pigo.moja tu limeondoa magaidi wakuu wanne ...Bado tunawinda kichwa Cha KHUMANEI
Vipi unaumia ukiwa wapi...tulia sawa iingie. Dunia inatakiwa kua sehem salama ya kuishi, hatutaki magaidi na silaha za kuhatarisha usalama wa Dunia. Bado nataka kichwa Cha KhumaneiWe nawe hakuna siku ulipost Cha maana .
Iran imekanusha hiyo taarifa.Kwa mtindo huu iran hatokaa aiweze Israel, yani kombora limetumwa tangu asubuhi mpk jioni halijafika kwa adui 🤣
Naam, ndivyo ilivyoHizo drones itakuwa zinakwenda kufanya reconnaissance, ila vyuma vipo vinaandaliwa..
Iran hamna kitu pale ni vile tu majini yakishawapanda basi hujiona wana nguvu.Iran hamuwezi Israel katika vita vya anga labda vya ardhini. Ingekuwa wamepakana myahudi angekuwa ameshanyolewa bila maji lakini kwa umbali uliopo ambapo unatakiwa umpige mwenzio kwa kuruka juu Iran lazima ateme bungo.
Huyuu dogo udini unamsumbua. CDF Anauliwa ndani ya nchi yako ni aibuu na udhalilishaji mkubwa kwa nchi na taifa kwa ujumla.Mkuu, Iran inaonekana bado sana kwa Israel!
Yaani mtu anakuja nyumbani kwako anakushambulia anavyotaka na bado anaondoka salama?!
Si unampiga hata jiwe la mguu!
Yaani anaua top comenders wako pamoja na wanasayansi muhimu unaowategemea kwenye nuclear power khaa
Na nimeona taarifa aljazeera msemaji wa Israel anasema wana uhakika Iran haiwezi ku respond kwa kiwango kama ilivyofanya mwaka jana, yaani imepigwa maeneo nyeti hivyo nguvu imekata, nadhani hata kwa hezbullah unakumbuka ilikuwaje kama utakuwa haujasahau!!.
Wacha weeeeee jipe moyo mkuuKumbuka Iran ana makombora ambayo Israel hawezi kuyazuia.
Au mshasahau Oktoba mosi kilitokea nini?
Pia Israel hilo shambulizi hajafanya peke yake Kuna wakubwa nyuma kamwe Israel hawezi kupanga lile shambulizi peke yake .
Bro we nishaachaga kuku quote maana utaanza u psychopath sasa hivi huchelewi.đź‘‹Wacha weeeeee jipe moyo mkuu
Wewe umenywewa chai?Umekunywa chai lakini
Pole sana maana kwa kipondo cha leo na kwa maumivu uliyopata kwa Iran kudundwa lazima sukari, presha zitakuwa juu sana muda huu.Bro we nishaachaga kuku quote maana utaanza u psychopath sasa hivi huchelewi.đź‘‹
Naona unaongea fikra zako inaonekana ufahamu Iran endelea kufuatilia huu uzi utawajua Iran.Mkuu, Iran inaonekana bado sana kwa Israel!
Yaani mtu anakuja nyumbani kwako anakushambulia anavyotaka na bado anaondoka salama?!
Si unampiga hata jiwe la mguu!
Yaani anaua top comenders wako pamoja na wanasayansi muhimu unaowategemea kwenye nuclear power khaa
Na nimeona taarifa aljazeera msemaji wa Israel anasema wana uhakika Iran haiwezi ku respond kwa kiwango kama ilivyofanya mwaka jana, yaani imepigwa maeneo nyeti hivyo nguvu imekata, nadhani hata kwa hezbullah unakumbuka ilikuwaje kama utakuwa haujasahau!!.