Nilikuwa jela mkuu, nini kilitokea Kwa hizbullah?Mkuu, Iran inaonekana bado sana kwa Israel!
Yaani mtu anakuja nyumbani kwako anakushambulia anavyotaka na bado anaondoka salama?!
Si unampiga hata jiwe la mguu!
Yaani anaua top comenders wako pamoja na wanasayansi muhimu unaowategemea kwenye nuclear power khaa
Na nimeona taarifa aljazeera msemaji wa Israel anasema wana uhakika Iran haiwezi ku respond kwa kiwango kama ilivyofanya mwaka jana, yaani imepigwa maeneo nyeti hivyo nguvu imekata, nadhani hata kwa hezbullah unakumbuka ilikuwaje kama utakuwa haujasahau!!.
Jamaa hata time zones hazijui. Kudanganya ni sayansi pia.Mtaalam Israel now asubuhi kama sisi😂😂😂
Hawakai kipimbi wale.Ikifika mwisho mtuambie makamanda wangapi na wanasayansi wangapi wa israel wameuawawa
Ziko ikwiriri kwa kina ritz zinajaza mafutaHizo drone tangu Jana hazijafika TU wajameni?
Wanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them.
================
Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na kuelekea Israel.
Uingereza, Marekani na Israel, kwa kuungwa mkono na mataifa ya Kiarabu wanafanya kazi ya kuwazuia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1933415085872906278?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Drones bado zipo msikitini zinatawazaHizo drone hazifiki tu? 😅
Bado tunasubiri. Tutaona saa ngapiKiongozi unafikiri Iran ni Libya, subiri muone..
Wanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them.
================
Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na kuelekea Israel.
Uingereza, Marekani na Israel, kwa kuungwa mkono na mataifa ya Kiarabu wanafanya kazi ya kuwazuia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1933415085872906278?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😂😂😂😂Iran hamuwezi Israel katika vita vya anga labda vya ardhini. Ingekuwa wamepakana myahudi angekuwa ameshanyolewa bila maji lakini kwa umbali uliopo ambapo unatakiwa umpige mwenzio kwa kuruka juu Iran lazima ateme bungo.