Iran claims it has shot down two Israeli jets and that its response to Friday night's attacks on nuclear and military infrastructure has begun.Na yanavyotunguliwa ulete mrejesho
Meanwhile, the Iranian Army has said in a statement that its "defence forces successfully hit and destroyed two F-35 fighter jets belonging to the zionist entity, in addition to a large number of small drones".Hatari sana
Jeshi la Iran limesema katika taarifa yake kwamba "vikosi vyake vya ulinzi vilifanikiwa kugonga na kuharibu ndege mbili za kivita za F-35 za kundi la Kizayuni, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani".Na yanavyotunguliwa ulete mrejesho
Gharama ya F-35 ilikuwa takriban dola milioni 85 kwa kila ndege.Mashambulizi kutoka Iran
View attachment 3366637
Fedheha kubwa hii
Hakuna kulala kwa kweli tunakesha teleHakuna kulala.
Western media hawatoi habari kamili ya casualties on Israel side. Wanapendelea Israel. Labda kama una access na North Korea TV. Israel wanakufa kama kukuHebu ngoja nikawashe TV mie, nilipumzika kidogo kumbe napitwa na mambo mazuri mazuri.