Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

⚡️⭕️ Iranian Intelligence:

• A pickup truck carrying drones was intercepted in Zanjan.
• In Kermanshah, a Toyota Hilux vehicle equipped with a covered compartment was seized while transporting a drone.
 
Pole mkuu ndugu
😂😂😂😂

Shirika la TASS la Urusi limeripoti kuwa mashambulizi ya Iran yaligonga shabaha zaidi ya 150, zikiwemo kambi za ndege za Israel zinazohifadhi ndege za F-35, F-16, na F-15.

Jeshi la Israel limepiga marufuku kurekodi video au kupiga picha za uharibifu katika kambi za kijeshi.
 
Anaanza kutuma vimulimuli tena?

Russian TASS Agency reports that the Iranian strikes hit more than 150 targets, including Israeli airbases housing F-35, F-16, and F-15 fighter jets.

Israeli army prohibited recording videos or taking photos of damage at military bases.
 
BREAKING:

🇮🇷🇺🇲 Iran inajiandaa kuangamiza kambi za kijeshi za Marekani kote Mashariki ya Kati ambao wanahusika katika shambulio dhidi ya Iran - Shirika la Taifa la Iran la Fars Agency linaripoti
 
Iran hawakuanzisha kabisa, mpuuzi mmoja Netanyahu amevizia akawapiga .

Watu wameanza kurejesha mapigo . anapiga simu Urusi kwa Putin aingilie kusimamisha mashambulizi. yani wao wanakupiga halafu kisha wanataaka wakae mezani tuzungumze wakati huo wewe umesha vimba upande mmoja wa jicho .

Iran nyoosha hawa wapumbavu.
 
MPYA:

🇮🇱🇮🇷 Jenerali wa Iran anasema Iran pia iliharibu vituo 3 vya anga vya Israel:

"Unaona tu uharibifu wa Tel Aviv kwa sababu ni eneo lenye watu wengi ambapo kila mtu ana simu tayari kurekodi.

Iran pia ilipiga Nevatim, Tel Nof, na Ovda Airbases lakini kutokana na udhibiti wa kijeshi, husikii chochote kuhusu hilo."
 
🇮🇷🇺🇸 | Iran imekuwa taifa la KWANZA katika historia kudungua ndege ya F35…

Imethibitishwa kuwa Iran imedungua ndege 2 za F35.

Nchi ya mwisho kutungua ndege ya kivita ya Marekani ilikuwa Serbia mwaka 1999.
 
Back
Top Bottom