Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
ISRAEL wanafanya vita ya Kigaid na IRAN !!!⚡️⭕️ Iranian Intelligence:
• A pickup truck carrying drones was intercepted in Zanjan.
• In Kermanshah, a Toyota Hilux vehicle equipped with a covered compartment was seized while transporting a drone.
Hakuna kulala alidhani Iran ni Gaza😂Baada ya saa kiama kina kuja Tela Aviv
Iran anatoa fundisho kuna silaha nyingi huu ndiyo muda wake kuzitumia.ISRAEL wanafanya vita ya Kigaid na IRAN !!!
. ISRAEL wameunda mtandao ndani ya Iran wa drone !!
Israel ana uwezo wa kupigana na Iran vita zaid ya Ugaid !!!
kila mtu anaona Makombora ya Iran yanavopepea kutwanga Telaviv na kwengine !!!
lkn uko Iran utaona tu Moshi mana ni Vi Drone ndio wanaviendesha ndani ya Iran apo apo!!!!
Baada ya saa Iran anasema kipigo cha leo si cha kawaida atakacho kipata Israel.Hakuna kulala alidhani Iran ni Gaza😂
Anavizia watu anawashambulia kisha anajitapa anapiga simu kwa Putin awambie Iran wakae meza moja.
Kubwa jinga Trump linasema Iran isijibu irudi kwenye mazungumzo Iran imemjibu kuwa tupo vitani na base zote za America zilizohusika zitashambuliwa😂
Mh ni kweli hiyo mkuu au unatania!?Baada ya saa kiama kina kuja Tela Aviv
Taarifa ya uongo accros all sources haipoIran says it shot down 10 Israeli aircraft over past hourThe Iranian military says “10 hostile Israeli aircraft were shot down in various areas” of the country.
Kumeanza kuchangamka😂
Kweli ukitaka kuuwa mwizi ngoja giza liingie.Mh ni kweli hiyo mkuu au unatania!?
Ila mbona watu wanasema Iran hatoshambulia amekubali kukaa mezani?Kweli ukitaka kuuwa mwizi ngoja giza liingie.
Jana nimecheka kumbe na wao wanaogopa kufa kuna Muisrael mmoja katolewa ghorofani analia kavaa boxer begani kabeba bunduki anajua anapingana Wapalestina hawapige risasi😂
Ni kweli kabisa ndugu, we leo utafurahi kuliko janaMh ni kweli hiyo mkuu au unatania!?
Saa ngapi sasa mbona muda unayoyoma huu?Ni kweli kabisa ndugu, we leo utafurahi kuliko jana
Kanga za kanisani hizo ndugu. We msikilize baba lao Iran. Vitu vinashuka leo mpaa alfajiri labda bada ya nusu saa vitanza kushukaIla mbona watu wanasema Iran hatoshambulia amekubali kukaa mezani?
We leo usilale au kalale mdaa wa masaa matatu uamke bada ya masaa utakuta utamu umesha fika IsraelSaa ngapi sasa mbona muda unayoyoma huu?