Trump kaomba poo hahhaha😂We leo usilale au kalale mdaa wa masaa matatu uamke bada ya masaa utakuta utamu umesha fika Israel
Israel kachanganyikiwa alianza kuuza kanga zake eti Iran kaomba Oman na Qatar wamrudishe USA kwenye mazungumzo hahaha. Ministry of Foreigner wa Iran akajibu Iran hukuomba nchi yoyote ile iwapataanishe na US ili arudi kwenye peace deal.RAN'S REVOLUTIONARY GUARDS CORPS SAYS IT TARGETED JET FUEL PRODUCTION FACILITIES IN NORTHERN ISRAEL
IRANIAN OFFICIALS SAY THEY ARE PREPARING FORIsrael kachanganyikiwa alianza kuuza kanga zake eti Iran kaomba Oman na Qatar wamrudishe USA kwenye mazungumzo hahaha. Ministry of Foreigner wa Iran akajibu Iran hukuomba nchi yoyote ile iwapataanishe na US ili arudi kwenye peace deal.
Yametumwa saa ngapi hayo?NEW BARRAGE LAUNCHED IN RESPONSE TO ISRAELI ATTACKS.
Show bado inaendelea kuna makombora mengi mapya yanatakiwa kujaribiwa.
Na yanavyotunguliwa ulete mrejesho
Wamerusha muda si mrefu kusumbua mfumo wa Ulinzi wa Israel.Yametumwa saa ngapi hayo?
"ran and Israel should make a deal, and will make a deal, just like I got India and Pakistan to make, in that case by using TRADE>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Kibint cha kipalestina kina icheka Iron dome kuwa ni sufuria tupu vitu vinashuka kama kawaida
View: https://youtu.be/RKPGAk5zjM0?si=ukadZexbtFIxlt_J
Kushambulia nchi nyingine kama alivyo fanya Israel kwa Iran, maana yake Israel alitangaza vita rasmi.Wamerusha muda si mrefu kusumbua mfumo wa Ulinzi wa Israel.
Usiku wanasukuma mizigo inapita kama kawaida Trump kamwambia Netantanyahu ngoma ngumu ingia mkataba kama Pakistan na India😂
"ran and Israel should make a deal, and will make a deal, just like I got India and Pakistan to make, in that case by using TRADE
Nyumba ya Netanyahu imekuwa kifusiRais Isaac Herzog pia anatembelea tovuti hiyo, ambapo msako unaendelea kwa wakaazi wengine watatu wa majengo.
"Nyumba nyingi katika eneo hili ziliharibiwa kabisa na kombora moja lililorushwa kutoka Iran katika shambulio la kikatili na la kutisha la kombora ambalo lilirushwa kote nchini," Herzog anasema katika eneo la tukio, kulingana na taarifa kutoka ofisi yake.
"Katika muda wa siku mbili zilizopita, Waisraeli kumi na watatu wameuawa - wa rika mbalimbali - watoto, watu wazima, wazee na wahamiaji wapya," rais asema, akiongeza kwamba "makombora hayatofautishi kati ya Wayahudi, Waislamu, Wakristo, au sehemu yoyote ya picha ya ajabu ya Israeli."
"Hii ni wakati muhimu sana katika historia ya Israeli. Ni lazima tuonyeshe uthabiti wa kihisia na kiakili ambao tunakuwa nao kila wakati," Herzog anasema.
Hakutaja chochote kuhusu uwezekano wa kuzuru Tamra, ambapo wanawake wanne waliuawa katika mgomo wa Irani usiku kucha.