Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Mungu awabariki waliomuua mwanae wa pekee yesu?
Vijana wa Manabii wa hela Hao hata upige hivyo vichwa hawaelewi washasetiwa kwenye mfumo Manabii wanajipigia hela usicheze na watoto wa mjini watoto wa mjini sio wa mchezo hahaha.
 
BREAKING: Soko la hisa la Tel Aviv lashuka kwa 3%, hasara ya jumla inakadiriwa kuwa $475 bilioni

Hizi habari uwezi kuzipata CNN, Fox News. BBC, ABC, SKY News, njooni hapq JF kwenye uzi wa RITZ mfonze news
 
Mkuu huwa napenda kubalance hizi mambo kwa kusoma wanaounga Iran na nasoma wanaounga mkono Israel

Tatizo moja la post zako una link kwenye mtandao wa X ambao wasomaji wa Bongo imefungiwa hatuoni unachopost zaidi ya comments zako tu

Za instagram zinafunguka fresh tu

Ombi
Ili wote tufaidi taarifa zako naomba kama utaweza uwe angalau una screenshot hizo habari za X
Na kama ni video unaweza ku upload...... najua haunaga bando la mawazo 😂

Vpn inazingua kwa wengine
 
Attachments

  • 7921AB23-F86C-4262-A54A-F65EDCCD68DC.png
    7921AB23-F86C-4262-A54A-F65EDCCD68DC.png
    140.7 KB · Views: 16
Vijana wa Manabii wa hela Hao hata upige hivyo vichwa hawaelewi washasetiwa kwenye mfumo Manabii wanajipigia hela usicheze na watoto wa mjini watoto wa mjini sio wa mchezo hahaha.
Kuna manabii wanasadaka ya kuwasaidia waisraeli na waumini wanachanga sasa sijui hawa waisrael wanapataje hizo sadaka
 
Mkuu huwa napenda kubalance hizi mambo kwa kusoma wanaounga Iran na nasoma wanaounga mkono Israel

Tatizo moja la post zako una link kwenye mtandao wa X ambao wasomaji wa Bongo imefungiwa hatuoni unachopost zaidi ya comments zako tu

Za instagram zinafunguka fresh tu

Ombi
Ili wote tufaidi taarifa zako naomba kama utaweza uwe angalau una screenshot hizo habari za X
Na kama ni video unaweza ku upload...... najua haunaga bando la mawazo 😂

Vpn inazingua kwa wengine
Basi tuanze na hii…
Nani alikuwa anategemea raia wa Israel watakuwa wana shinda kwenye mashimo na mbwa😂
 
Attachments

  • 58a0c559-416e-4a66-b95a-6b950e08859e.mov
    1.1 MB
  • f0f437e7-b1cc-4d93-9d74-0519441a89a4.jpeg
    f0f437e7-b1cc-4d93-9d74-0519441a89a4.jpeg
    35.1 KB · Views: 13
  • f60b49f3-2f47-446e-934d-61364f1e2504.jpeg
    f60b49f3-2f47-446e-934d-61364f1e2504.jpeg
    40.8 KB · Views: 16
  • abcb0b23-847d-4f15-aa44-f6d18d1b7bbf.jpeg
    abcb0b23-847d-4f15-aa44-f6d18d1b7bbf.jpeg
    29 KB · Views: 13
Hawa ndiyo walipanga njama kusaidiana na mawakala wao wa Iran.
 
Attachments

  • IMG_6403.jpeg
    IMG_6403.jpeg
    594.3 KB · Views: 12

Attachments

  • IMG_6406.jpeg
    IMG_6406.jpeg
    306.9 KB · Views: 12
  • IMG_6405.jpeg
    IMG_6405.jpeg
    712.8 KB · Views: 12
  • IMG_6404.jpeg
    IMG_6404.jpeg
    504 KB · Views: 14
🇮🇱🇮🇷⚡Iran’s National Guard forces (Basij) released footage of uncovering a underground base belonging to a foreign intelligence service:

More than 400 Afghan nationals were reportedly found at the site, which included underground tunnels.

The facility, operating under the cover of a workshop near the IRGC’s Main Command headquarters, was allegedly used to assemble drones employed by Mossad agents to conduct operations inside Iran.
 
Back
Top Bottom