Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1935481092171051167?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwBREAKING: MAKOMBORA YA IRAN YAPIGWA Tel Aviv, Israel usiku wa leo (tena).
Israel ILIDAI KWA UONGO kwamba makombora haya yalinaswa.
Mungu awabariki waliomuua mwanae wa pekee yesu?Huge Blow. Kobazi kaingia kwenye 18 za watoto wa yakobo. Huku operation Gidion chariot huku operation rising Lion of Judah. Mungu ibariki Israeli
Zingatiatia hili post za X hazifunguki kwa wengi hasa mimi.Post postzako kwa mfumo tofauti na X .....hizo post za X zinasembua kufunguka au download video au screenshot
Vijana wa Manabii wa hela Hao hata upige hivyo vichwa hawaelewi washasetiwa kwenye mfumo Manabii wanajipigia hela usicheze na watoto wa mjini watoto wa mjini sio wa mchezo hahaha.Mungu awabariki waliomuua mwanae wa pekee yesu?
Hatuna deni na Mzee wetu Ayatollah, he is a real man and a true friend, May God bless him.
Mkuu huwa napenda kubalance hizi mambo kwa kusoma wanaounga Iran na nasoma wanaounga mkono Israel
Kuna manabii wanasadaka ya kuwasaidia waisraeli na waumini wanachanga sasa sijui hawa waisrael wanapataje hizo sadakaVijana wa Manabii wa hela Hao hata upige hivyo vichwa hawaelewi washasetiwa kwenye mfumo Manabii wanajipigia hela usicheze na watoto wa mjini watoto wa mjini sio wa mchezo hahaha.
Basi tuanze na hii…Mkuu huwa napenda kubalance hizi mambo kwa kusoma wanaounga Iran na nasoma wanaounga mkono Israel
Tatizo moja la post zako una link kwenye mtandao wa X ambao wasomaji wa Bongo imefungiwa hatuoni unachopost zaidi ya comments zako tu
Za instagram zinafunguka fresh tu
Ombi
Ili wote tufaidi taarifa zako naomba kama utaweza uwe angalau una screenshot hizo habari za X
Na kama ni video unaweza ku upload...... najua haunaga bando la mawazo 😂
Vpn inazingua kwa wengine
Kwa kuwa wengi inakuwa vigumu kufungua link za Twitter au X jaribu ku screenshot hizo post.
Hahaha kumbe mnapenda kufonza news kutoka vyanzo vyangu 😂Kwa kuwa wengi inakuwa vigumu kufungua link za Twitter au X jaribu ku screenshot hizo post.
View attachment 3375717