Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

JUST IN:

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท National Security Minister Itamar Ben-Gvir:

"There will be more difficult days, but always remember Hiroshima and Nagasaki."
 
โšก๏ธ Itamar Ben-Gvir:
Pia asubuhi ya leo, huko Tel Aviv, tukio lilitokea ambapo vifaa vilichukuliwa, na mpiga picha alifuatiliwa. Hatutaruhusu Al Jazeera kutangaza kutoka Israel.
Natoa wito kwa kila mtu anayetazama Al Jazeera, raia wote, kuripoti kwa polisi. Ninajua pia kwamba Shabak inashughulikia suala hili, na kuna kauli iliyo wazi na sera iliyo wazi - Al Jazeera inaleta tishio kwa usalama wa serikali.
 
Mpaka sasa kuna missiles zipo kwa hewa zinaelekea Israel

Ngoja tuone zitatua au zitazuiliwa
 
Huu uzi mleta mada ana coment na kujijibu pekeake
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
~ al Ramat Gan katika mji mkuu wa Tel Aviv, alipigwa busu kwa makombora ya Iran leo asubuhi.
 

Attachments

  • 4c40e982-dbc4-4072-abda-a3ef96641cb5.jpeg
    49.3 KB · Views: 13
  • bcfe0e32-3ca7-4c12-a4d5-10c7d2152357.jpeg
    46.7 KB · Views: 15
  • ea736fa2-142f-4bad-9c2a-9112f4b613fb.jpeg
    48.8 KB · Views: 13
  • 3ca096e6-289c-46f3-87fc-e8c2e5ff5ebe.jpeg
    42.4 KB · Views: 15
Israel fanya kitu hawa kobaz wanatamba sana
Afanye kitu gani ulvyokuwa punguani unadhani Iran ni Gaza au Syria๐Ÿ˜‚

Mlidanganywa eti Israel alishinda vita siku 6 sijui 3๐Ÿ˜‚
 
Mwanaume wa kiajemi anazidi kubamiza vyuma tu , vina pigwa vyuma sio poa , zile ballistics za kizamani stock ishasafiswa sasa hivi ni mwendo wa vyuma vya hypersonic Tu na hizi missiles ,hizo takataka za Irine done nk haziwezi intercept hivi vyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ