Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Attachments

  • IMG_6551.jpeg
    IMG_6551.jpeg
    394.6 KB · Views: 14
Wayahudi weusi wa JF wanauchugulia huu uzi kama Nguchiro kwenye shimo😂
 
Wayahudi wa Makete, kwimba, Ngudu, Uyole, Mafinga, Nansio, Bukene, Bunda, Kibosho, Majimatitu, vipi mbona mpo kimya taifa teule linapelekewa moto.

Zile porojo kuwa Israe ilishinda vita siku 6😂
 
Wayahudi wa Makete, kwimba, Ngudu, Uyole, Mafinga, Nansio, Bukene, Bunda, Kibosho, Majimatitu, vipi mbona mpo kimya taifa teule linapelekewa moto.

Zile porojo kuwa Israe ilishinda vita siku 6
 
Back
Top Bottom