Ukweli Mimi Jew's, ila Irani wananipa Raha. Na Jana wame restore mfumo wa ulinzi wa Anga, basi mie rohoo nyeupeeKambi mpya ya jeshi la wanamaji la Iran 🇮🇷 imeibuka ndani kabisa ya Ghuba.
Ulimwengu sasa umeona jinsi nguvu ya Irani inavyoonekana🚀🔥
View: https://x.com/di313_/status/1936006199482499189?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wayahudi wa Makete, kwimba, Ngudu, Uyole, Mafinga, Nansio, Bukene, Bunda, Kibosho, Majimatitu, vipi mbona mpo kimya taifa teule linapelekewa moto.
Zile porojo kuwa Israe ilishinda vita siku 6