Hiii safi watu wameona.Netanyahu, unalia lia nini ndiyo kwanza game inaanza wewe unavunja majengo Gaza na kuuwa raia.
mkuu tatizo ni mtandao wa X jqribu kitumia VPNHiii safi watu wameona.
Iran wakae mkao wa kula sasa wanaenda kuwa afghanistan nyingine
Picha hazisaidii kitu. Kifurushi kimeshatua tel aviv
Picha hazisaidii kitu. Kifurushi kimeshatua tel aviv