Iran yabadili gia angani kuwashughulikia moja kwa moja wahusika mauaji ya Haniyeh badala ya kuishambulia Israel

Iran yabadili gia angani kuwashughulikia moja kwa moja wahusika mauaji ya Haniyeh badala ya kuishambulia Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa kutoka Tehran

Serikali ya Iran imebadili gia angani. Sasa inafikiria kuwashughulikia moja kwa moja waliohusika na mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Hamas Ismail haniyeh badala ya kuishambulia Israel

Watuhumiwa wa mauaji hayo wakiwemo waliomo kwenye vyombo vya Usalama Iran pamoja na mossad watashughulikiwa na Iran mojawapo.

Waziri mambo nje wa Pakistan ameishauri Iran kuwa kifo cha haniyeh lazima kisasi kilipwe ila wajiepushe kutimiza ndoto au agenda ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau anayetaka kuleta vita kubwa Mashariki ya kati.

Taarifa kamili hapo chini:

=============

The Times of Israel is liveblogging Friday’s events as they happen.

Report: Tehran may go after individuals responsible for killing Haniyeh rather than attacking Israel. An unverified image of the Tehran building where Hamas chief Ismail Haniyeh was killed on July 31, 2024. (Social media, used in accordance with Clause 27a of the Copyright Law)

An unverified image of the Tehran building where Hamas chief Ismail Haniyeh was killed on July 31, 2024. (Social media, used in accordance with Clause 27a of the Copyright Law)

Iran may choose to target the individuals it believes are responsible for the assassination of Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran last week, rather than launching an attack on Israel, The Guardian reports.

According to the report, Tehran could retaliate for the assassination of Haniyeh, which it has blamed on Israel despite Jerusalem neither confirming nor denying responsibility, by targeting people it believes to be working with or members of Israel’s Mossad security agency.

Reports following Haniyeh’s death have claimed that Mossad agents enlisted operatives from within Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps to plant explosives in the room the Hamas chief was staying in for the swearing-in ceremony of new Iranian President Masoud Pezeshkian.

Tehran is weighing its options as it faces intense diplomatic pressure not to escalate tensions in the region in any way that could result in an all-out war.

During a meeting of the Organisation of Islamic Cooperation called by Iran Wednesday to discuss the assassination, Pakistan’s foreign minister was said by the Guardian to have voiced opposition to an Iranian attack on Israel, and said that while Haniyeh’s death must be answered for, Iran “must not fulfill (Prime Minister) Benjamin Netanyahu’s design for a wider war.”
 
Kuna wa Iran watakuwa ndio inawaponza hawa Hamas si bure.

Walianza kuwahaidi Wapalestina kuwa Israel ikiingia Gaza hiyo ni red line
Wakaja kusema Israel ikiingia Rafah hiyo ni red line.
Wakaja kwa Haniya...
Now amebaki Sinwar
 
Ngoja tuone, japo Israel ni hodari kwenye kulinda watu wake waliohusika na kazi yoyote chafu.
 
Kama Iran watakuwa wame back down kufanya retaliation basi watakuwa wamefanya a good move, huwezi kwenda vitani ukiwa na moles wengi kwenye decision making hierarchy za military na intelligence.
Pili kinachotafutwa sio totol war, ila ni distribution ya Iran nuclear facilities ambazo ziko around 70-80%, nadhani wao wenyewe wanalijua hili
 
Back
Top Bottom