Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Ili Dunia itulie, Iran anatakiwa apigwe.
Ni mfadhiri Mkuu wa Magaidi.
Amejulishwa na wapelelesi wake kuwa akianzisha tu vita na Israeli itakuwa mwisho wake na utawala wake wa Sharia.
Yaani mtu mmoja anauliwa ndani ya nchi yake ambaye sio Raia wa nchi yake, anataka kuitumbukiza nchi kwenye vita.
Huyo mtu anathamani ya kiasi gani Hadi atake kumwaga damu ya wanajeshi na raia. Ni kwakuwa tu ni Kiongozi wa Magaidi.
Amestuka mapema huyo.
Ilikuwa mwisho wa Iran.