Iran yabadili gia angani kuwashughulikia moja kwa moja wahusika mauaji ya Haniyeh badala ya kuishambulia Israel

Ili Dunia itulie, Iran anatakiwa apigwe.
Ni mfadhiri Mkuu wa Magaidi.
Amejulishwa na wapelelesi wake kuwa akianzisha tu vita na Israeli itakuwa mwisho wake na utawala wake wa Sharia.

Yaani mtu mmoja anauliwa ndani ya nchi yake ambaye sio Raia wa nchi yake, anataka kuitumbukiza nchi kwenye vita.

Huyo mtu anathamani ya kiasi gani Hadi atake kumwaga damu ya wanajeshi na raia. Ni kwakuwa tu ni Kiongozi wa Magaidi.
Amestuka mapema huyo.
Ilikuwa mwisho wa Iran.
 
Iran has obviously weighed the pros and cons of attacking Israel and has eventually come to its senses by realizing that it would pay the heavy price should it carry out the attack.

Judging by the ongoing development, it seems Iran will now have to contend with the fact that dealing with the jewish state militarily is a dream that will never come true and neither will it come out victorious.

Therefore, it's likely that, in not too distant future the Persian state will definitely join the Arab countries bandwagon and cease the all hostilities against the jewish state and start a new roadmap to seeking a peaceful solution to the middle east crisis.
 
Ushaacha dhambi Lakin mkuu. Maana anayekuja sasa ni Mungu mwenye nguvu mfalme mwenye mamlaka. Anakuja kutoa hukumu. Sio yule Yesu aliyekuwa anahubiri mtaan. Be warned bro.
NAMUOMBA YESU NISIFANYE DHAMBI NA NAJITENGA NAZO KWA NGUVU ZANGU ZOTE ILA NIKISEMA NIMEACHA DHAMBI NITAKUWA MNAFIKI NIKIJIONA MTAKATIFU.

NA ENDAPO NIMETENDA DHAMBI BIRA KUKUSUDIA BASI NIINGIE CHUMBANI KUOMBA MSAMAHA WA TOBA
 
NAMUOMBA YESU NISIFANYE DHAMBI NA NAJITENGA NAZO KWA NGUVU ZANGU ZOTE ILA NIKISEMA NIMEACHA DHAMBI NITAKUWA MNAFIKI NIKIJIONA MTAKATIFU.

NA ENDAPO NIMETENDA DHAMBI BIRA KUKUSUDIA BASI NIINGIE CHUMBANI KUOMBA MSAMAHA WA TOBA
Lazima umkiri Yesu na useme umeacha dhambi maana huwez kuwatumikia mabwana wawili. Ni au uwe upande wa Yesu au uwe wa shetan. Ila kama binadam unaweza kuanguka majaribun. Ila lazima utamke wewe mwenyewe mimi dhambi tena basi na uchukue hatua zinazoendana na mabadiliko yako. Kuanguka dhambin inaweza kutokea ila isiwe kudhamiria. Maana pale unapodhamiria kwenda kuzin tayari uko nje ya nuru ni giza linakuongoza muda huo.
 
It is said MAY! and not SHALL
 
Na bado mpaka utage unajitahidi sana kuiepusha Israel na kipigo kutoka kwa Waajemi
 
Nyie kalinieni Iran imebadili gear angani, kipigo cha mbwa koko kinakuja tu. tena kwa tarifa yako Iran kapewa offers nyingi sana. US kamuambia ataondoa sijui sunction. Iran kasema no way kipigo lazima kiwepo.

Nilikuwa namsikia General mmoja wa US akisema kwenye tv channel moja ya Iraq, eti US atampiga Iran kipigo na pia atamfanyia sunction mpaa atajuta, akajibiwa na muiran kwenye hio hio TV channel, Iran haogopi na US ndio wapige hesabu zao vizuri, akasema hapo Gulf US ana askari zaidi ya 45000 ajiandae kubeba maiti na asahau kama kuna base itabaki hapo Gulf.

Iran kasema hakuna deal kwenye damu, kipigo cha mbwa koko lazima akipokee Israel. Watake wasitake. Tena safari hi wanapiga kwenye mshono kabisa. Iran atapiga Ministry of Defence na Mossad pale Tela Aviv, na sehemu ambazo kisha zipinpoint ndio target ya kuzipiga

Mimi nawashauri Iran, Hezbullah, Al Hourh na Syria pia, hi ndio time ya kuimaliza Israel hapo Middle East, msikubali ofa za mabillion kutoka Qatar, US, UAE na Saud Arabia pesa hizo wachieni wao, sisi tunataka kuona waisrael wanapokea kichapo tu ndio roho zetu zitakuwa bariiiidiiiiii.
 
Jinga sana 🤣🤣
 
Ukitumia tu sehemu ya ubongo wako unadhani ikitokea Iran ameishambulia Israel matokeo yake yatakuwaje?
 
Irani Kama kawaida yake katuingiza chaka tena,,,Arushe tu hizo missiles 1500 alizoahidi
 
Magaidi Iran wamegwaya. Wameishia kupandisha bendera nyekundu
 
Kuna wa Iran watakuwa ndio inawaponza hawa Hamas si bure.

Walianza kuwahaidi Wapalestina kuwa Israel ikiingia Gaza hiyo ni red line
Wakaja kusema Israel ikiingia Rafah hiyo ni red line.
Wakaja kwa Haniya...
Now amebaki Sinwar
Waliobakia ni pamoja mfalme Joka. Ambae ni Ayatollah khamnei
 
Baada ya kusondoka kwa iraq msumbufu aliebaki pekee ni iran..
Nae anaenda angushwa mashariki y ati itwa salama.
Cc Ritz
 
Ukitumia tu sehemu ya ubongo wako unadhani ikitokea Iran ameishambulia Israel matokeo yake yatakuwaje?
Hakuna lolote atakacho weza fanya America kuliko alicho kifanya kwa Iran, kwenye miaka ya nyuma. America hana uwezo wa kuingia vita kwa sasa, sababu kubwa mbili yuko kwenye hali mbaya sana kijeshi kuliko mnavyo fikiria nyie. Wananchi wake wengi wanapinga vita na kuingia vita kwa ajili ya Israel, pia wananchi wa America wamechoka kulipa kulipa kodi kwa ajili ya Israel.

We niambie America na Europe watafanya nini zaidi ya sunction, kijeshi ni ndoto tu.
 
Magaidi Iran wamegwaya. Wameishia kupandisha bendera nyekundu
We tulizana usiwe una kihele hele kama cha Israel, anafanya vitu bila kufikiria afu ananza kulia huko kwa Joe 😄 Iran wana experience wanajua namna ya kudeal na US na Israel kwa wakati mmoja. Kipigo cha mbwa koko kipo hata mkitoa ofa za kuondoa sunction, pesa n.k na kukimbilia kusimamisha vita vya Gaza. Kipigo takatifu kinakuja kaeni mkao wakuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…