Kama kwa hakika unajua akirudi anarudi kama nani na kufanya nn, basi usinge tamani arudi heri abaki huko huko. Bcoz this time atarudi akiwa na mamlaka kamili hatutawez kumkamata, kumdunda wala kumtemea mate na kumdhihaki kama awali. Labda kama mwenzetu unaishi tofauti sana ndo utatamani ujio wake.