Iran yadai FIFA imefuta Tiketi za mashabiki wake kwa mechi za Kombe la Dunia Marekani

Iran yadai FIFA imefuta Tiketi za mashabiki wake kwa mechi za Kombe la Dunia Marekani

Sema hawa jamaa si wangekausha tu.....nchi ipo kwa vita bado unahangaika na world cup kwa raha ipi hata mkitokea mmelipata hilo kombe (japokuwa sidhani kama watavuka hata hatua ya makundi)
 
Unafikiri kama wamedhamiria watashindwa? Wangapi Huwa wananunua tiketi na hawapendi uwanjani? Wakianua kuzisaka tiketi hizo unafikiri hawatazipata?
kama hawana ithibati wa kununua tiketi,watawezaje kuingia US? watakaoingia us ni wale wachezaji na maofsa wa benchi la ufundi tu wengine watabaki nyumbani kusubiri kulipuliwa. FBI wapo kazini.
 
kuna maajabu ya dunia mkuu,mtu anaweza kujitoa muhanga hata nje tu ya uwanja akalipua,we acha tu waarabu si watu kabisa,bora wamepigwa stop.
Na wale wana kisasi sana dhidi ya US.
 
Ni kweli mkuu wale wanaweza ila kwa search na jicho la ulinzi watakalopewa Iran sidhani kama wataaeza kufanya hilo tukio. FBI ipo makini sana.
unaweza kuta hao mashabiki ndio watengeneza mabomu wa iran,na wana mfumo wa ulinzi kwamba hata kwa search ipi bomu haliwezi kutambulika hata kama limemezwa tumboni.
 
Back
Top Bottom