Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

Ukimchokoza Mnyahudi Mungu hakuachi salama. Atakupiga mapigo hadi uchangamyikiwe. Nayakumbuka mapigo aliyokongontwa farao na wamisri wakati wamewashikilia Hawa mabwana utumwani. Hawa watu sio poa utaki ndio hovyo hivyo usitake ndio hivyo hivyo. Mungu wa kweli huwasaidia kwenye misulisuko yao
 
Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
Iran waliwahi kuwalalamikia Israel kwamba wamewaibia mawingu yao

IMG_2933.jpeg




 
Inawezekana pia..maana ajali ya rais wao wameanza kimshutumu zayuni....Mambo ya pagers....japo walishatoa ripoti ya uchunguzi kuwa ni climate change
Habari za kumshutumu zayuni ni za kuungaunga watu wajipe furaha
 
Mungu awape wepesi majeruhi waliofariki azipokee roho zao waliokwama wakapate kunasuliwa.
 
Back
Top Bottom