Acha ushabiki, unasema Iran hawana cha kupoteza uko serious kweli? Hayo ni matusi kwa wa Iran.Sema IRAN ni wanaume kumhamakhe, Hata uue mpaka vitoto, Bado vijukuu vitasimama tu kibishi.
Vita kama hii hua ni Ngumu sana, kupigana, kwasababu ni Vita ya kizazi na kizazi.
Wakati huo USA ana vitu vingi vya kupoteza, IRAN hana kitu kipya cha kupoteza kwa sasa.
Umeelewa context ya mtoa post!?Acha ushabiki, unasema Iran hawana cha kupoteza uko serious kweli? Hayo ni matusi kwa wa Iran.
Kwamba wao ni mawe sio binadamu sio?
Kama hapa bongo tu tumeathirika pakubwa na bei za mafuta, ni vipi wairan wanaopigwa mabomu usiku kucha wasiathirike?
Au unahisi wana miili ya chuma? Kumbuka wale ni binadamu wenzako.
Watu walijazana kwenye madaraja na miundombinu mingine kulinda ili visipigwe mabomu maana vikipigwa ni hasara kubwa kwao harafu anatokea mbongo anasema eti hawana cha kupoteza.