MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Maafisa wa Iran wameongeza marufuku ya kutembea na mbwa hadi kufikia miji zaidi ya 18 nchini humo ikiwemo Tehran, wakitaja sababu za usalama wa afya na utulivu wa jamii.
Hatua hii inaendeleza amri ya polisi ya mwaka 2019 iliyopiga marufuku kutembea na mbwa mjini Tehran.
Ingawa hakuna sheria inayokataza umiliki wa mbwa moja kwa moja, baadhi ya wanazuoni wa kidini wanaona mbwa kuwa najisi, na baadhi ya maafisa wanaona umiliki wa mbwa kama athari ya utamaduni wa Magharibi.
Marufuku hii imekuwa ikitekelezwa kwa kusuasua, huku baadhi ya wamiliki wa mbwa wakiendelea kuwatoa matembezini. Maafisa wamesema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaokiuka agizo hilo.
===========================
Iran has just taken dog walking to a whole new level of banned — again.
The government has banned dog-walking in 18 states in the past week due to health and safety concerns.
What started in Tehran back in 2019 as a police order banning dog walking has now snowballed into a nationwide crackdown.
Over the past week, at least 18 other cities across Iran have followed suit, including Isfahan and Kerman.
Even transporting dogs by car is now off-limits. Yes, apparently your pooch can’t catch a ride either.
Source: The Morning News