Iran yapiga marufuku ya nchi nzima kwa wananchi kutembea na mbwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Maafisa wa Iran wameongeza marufuku ya kutembea na mbwa hadi kufikia miji zaidi ya 18 nchini humo ikiwemo Tehran, wakitaja sababu za usalama wa afya na utulivu wa jamii.

Hatua hii inaendeleza amri ya polisi ya mwaka 2019 iliyopiga marufuku kutembea na mbwa mjini Tehran.

Ingawa hakuna sheria inayokataza umiliki wa mbwa moja kwa moja, baadhi ya wanazuoni wa kidini wanaona mbwa kuwa najisi, na baadhi ya maafisa wanaona umiliki wa mbwa kama athari ya utamaduni wa Magharibi.

Marufuku hii imekuwa ikitekelezwa kwa kusuasua, huku baadhi ya wamiliki wa mbwa wakiendelea kuwatoa matembezini. Maafisa wamesema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaokiuka agizo hilo.

===========================

Iran has just taken dog walking to a whole new level of banned — again.

The government has banned dog-walking in 18 states in the past week due to health and safety concerns.

What started in Tehran back in 2019 as a police order banning dog walking has now snowballed into a nationwide crackdown.

Over the past week, at least 18 other cities across Iran have followed suit, including Isfahan and Kerman.

Even transporting dogs by car is now off-limits. Yes, apparently your pooch can’t catch a ride either.

Source: The Morning News
 
Marekani iwasaidie kuondoa makatili haya
 
Mimi nadhani kila Race ingekuwa na dini yake tuu Waajemi walikuwa na Dini yao Zoroastrianism kama sikosei wangeachana na hizi za Waarabu baadhi ya nchi au race zilizo na dini zao nyingi zimeendelea sana
 
Acha ujinga, kwani mmarekani ndo mwenye haki ya kuamulia watu wengine waishije?

Mmarekani anasaidia kuwatoa kwenye huo utumwa, hata muarabu mwenyewe mwenye dini yake kuna baadhi ya hizo pumba ameanza kulegeza, ikiwemo wanawake kuendesha magari. Sisi miafrika ndio ilipaswa hii dini maana matumizi ya ubongo ni sifuri.
 
Marekani wenyewe wameshindwa kumlinda myahudi vitu vinaingia Tel Aviv huko kutoka yemen na kubomoa Airport
sasa jamano ukitupa jiwe toka mpakani si utafika
 
Mlisema mna mtambo bora wa kuzuia makombora duniani jiwe linaingiaje tena

Magobore yote ambayo mumefyatua dhidi ya haka kataifa, insingekua teknolojia kangekua kamefutika, yaani hapa kwenye ramani inabidi ukatafute sana ndio ukaone.
Msichokijua hata kabla ya ujio wa mohammad na allah wenu, kuna miungu ilijaribu kufuta Wayahudi wakashindwa...

 
Itabidi tuwe tunatembea na nguruwe tumefunga kamba kwenye mguuu
 
Muiteni fake Muslim Mohamed Said majuzi kati alidanganya ummah eti Allah kawataja vizuri mbwa kwenye Quran..
Mambo mengine ya ajabu sana 😁😁😁

Sasa mbwa ame wakosea nini !?? Yeye amejikuta tu ameumbwa kuwa mbwa inakuwaje tena anachukiwa !?

Imani ni uchizi
 
Wako sahihi, kwa mujibu wa Dini Black Dog is a Shaytan:
..............
Sunan Ibn Majah 952
It was narrated from ‘Abdullah bin Samit from Abu Dharr, that the Prophet (ﷺ) said:
“The prayer is severed by a woman, a donkey, and a black dog, if there is not something like the handle of a saddle in front of a man.” I (‘Abdullah) said: “What is wrong with a black dog and not a red one?” He (Abu Dharr) said: ‘I asked the Messenger of Allah (ﷺ) the same question, and he said: “The black dog is a Shaitan (satan).”
..........
Sasa utatembeaje na Shaytan Barabarani:
Fanyeni mambo yenu
 
Lakini Iblis nae ni Muislam na alisilimishwa na Mohammad so ni ndugu yao katika uislam.. jamaa hawaeleweki wanaamini kitu gani.

Ukisoma Quran unakuta kumbe Shetani ibilisi ni Mfanyakazi wa Allah na ndie anayetumwa awafanyie vibaya Waislam. so iblis anatukanwa weee kumbe yupo kazini akitimiza kazi ya mpenzi wake Allah, Iblis kumbe ni hana makosa Allah ndie mbaya wa Waislam

Quran 6:112
And so We have appointed for every Prophet enemies - Shayatin (devils) among mankind and jinns, inspiring one another with adorned speech as a delusion (or by way of deception). If your Lord had so willed, they would not have done it, so leave them alone with their fabrications. (Tafseer Qurtubi, Vol. 7, Page 67)

Na kwa hivyo tumemwekea kila Nabii maadui, mashetani katika watu na majini, wakifundishana wao kwa wao kwa maneno ya pambo kuwa ni udanganyifu. Na lau Mola wako angelitaka wasingeli fanya hivyo, basi waache na uzushi wao. (Tafseer Qurtubi, Juz. 7, Ukurasa 67)
 
Kama ni msomi wa dini nadhani ushaielewa hiyo Dini kuwa ni ya nani:
Sitaki kuwakwaza watu wa mapokeo ya bila kujiridhisha:

MARYAM - 83 ]
Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
.....
Ukiisoma hiyo aya kwa kuitafakari utaelewa nilicho sema hapo juu:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…