Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Hujaziliwa, walikuwa wanakula mpaka leo wapo! Unawaza kuhusu kula 😏😏??Iran amesha choka na vita ndani hali mbaya anahitaji muda apumue kidogo vinginevyo njaa itawauwa. Taifa lina watu karibia milioni mia alafu kila siku vita na vikwazo watakula nini? Inahitaji busara kidogo ya kuwa mpole.
Israel Wameshambulia Iran alfajiri ya Leo mpaka Asubuhi na mchana walikua wakishambulia. Tulisubiri Iran wajibu, lakini Iran wamesitisha, Israel nae kasitisha.Mayahudi si yalisema usiku wa Leo yatasalimia anga na ardhi ya Iran? Nao wamesitisha baada ya ujumbe wa Iran?
Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupingaMayahudi si yalisema usiku wa Leo yatasalimia anga na ardhi ya Iran? Nao wamesitisha baada ya ujumbe wa Iran?
Iran hii ambayo imeshindwa kujibu mashambulizi ya Leo ya Israel? Israel kapiga Leo hapo kwake, kwa nn Iran kashindwa kujibu?Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga
Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣
Dunia Ina kwenda Kasi sana
Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga
Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣
Dunia Ina kwenda Kasi sana
Hawezi kushindwaKwa hili Iran wamefuta zile ideolojia za analogy ambazo watu wengi duniani walikuwa nazo.
Ingawaje atashindwa lakini kwa heshima
Uongo haukusaidii kitu jamaa. Wa mwisho kushambulia ni Iran na mafa makubwa yameonekana Kiryat Shmona na Galilaya. Baada ya hilo shambulio Israel hajajibu hadi sasa.Iran hii ambayo imeshindwa kujibu mashambulizi ya Leo ya Israel? Israel kapiga Leo hapo kwake, kwa nn Iran kashindwa kujibu?
View attachment 3603672
Wewe sasa ndio uache huo uongo. Hilo shambulizi la mwisho Iran kalifanya saa ngapi?Uongo haukusaidii kitu jamaa. Wa mwisho kushambulia ni Iran na mafa makubwa yameonekana Kiryat Shmona na Galilaya. Baada ya hilo shambulio Israel hajajibu hadi sasa.
Habari hauangalii peke yako kijana.
Pia kama kuhusu kula na social development Iran ina social development kuliko taifa lolote Afrika na Iran ina higher index of food security. Itakua umezaliwa juzi huijui Iran wewe.
Usome muda wa taarifa iliyotolewa kabla hujaropoka. Hiyo habari yako ni ya saa kumi na dakika 55 unadai kuwa SASA HIVI Israel inashambulia Lebanon. Nipo kwenye Aljazeera news app hakuna taarifa ya Israel kuishambulia Lebanon saa 11 hii. Nakusisitiza Iran ndiye wa mwisho kuishambulia Israel miji ya Kiryat Shmona na Galilaya.Wewe sasa ndio uache huo uongo. Hilo shambulizi la mwisho Iran kalifanya saa ngapi?
Haya, muda huu Israel wanafanya mashambulizi Lebanon. Na Gaza. Tusuhiri Iran ajibu
View attachment 3603716
Bado huamini TU? Saa kumi na mbili jioni hii mashambulizi yanaendeleaUsome muda wa taarifa iliyotolewa kabla hujaropoka. Hiyo habari yako ni ya saa kumi na dakika 55 unadai kuwa SASA HIVI Israel inashambulia Lebanon. Nipo kwenye Aljazeera news app hakuna taarifa ya Israel kuishambulia Lebanon saa 11 hii. Nakusisitiza Iran ndiye wa mwisho kuishambulia Israel miji ya Kiryat Shmona na Galilaya.
Huzungumzi na watoto wenzako.
Basha wako Khomenei yupo Mochwali za Tehran ..Huku Neta anadunda kitaa Mwambie Basha wako mpya Mojtaba ajitokeze akumbane na Bunker Buster..Usome muda wa taarifa iliyotolewa kabla hujaropoka. Hiyo habari yako ni ya saa kumi na dakika 55 unadai kuwa SASA HIVI Israel inashambulia Lebanon. Nipo kwenye Aljazeera news app hakuna taarifa ya Israel kuishambulia Lebanon saa 11 hii. Nakusisitiza Iran ndiye wa mwisho kuishambulia Israel miji ya Kiryat Shmona na Galilaya.
Huzungumzi na watoto wenzako.
Acha ushabiki maandazi wewe, wananchi wa Iran wana hali ngumu sana kiuchumi, unafikiri kipindi kile kwa nini walikuwa wanaandamana basi hadi maelfu wakauliwa na serikali yao dhalimu.Uongo haukusaidii kitu jamaa. Wa mwisho kushambulia ni Iran na mafa makubwa yameonekana Kiryat Shmona na Galilaya. Baada ya hilo shambulio Israel hajajibu hadi sasa.
Habari hauangalii peke yako kijana.
Pia kama kuhusu kula na social development Iran ina social development kuliko taifa lolote Afrika na Iran ina higher index of food security. Itakua umezaliwa juzi huijui Iran wewe.
Sasa si Bora Venezuela Maduro Yuko USA anakula kuku , wakat huo huo Khamenei Yuko zake kuzimu anagombea bikra za majini mahabaTulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga
Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣
Dunia Ina kwenda Kasi sana