Iran yasema imesitisha mashambulizi dhidi ya Israel

Iran yasema imesitisha mashambulizi dhidi ya Israel

Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga

Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣

Dunia Ina kwenda Kasi sana

Huelewi kinachoendelea!

Iran imejaribu kuishambulia Israel, makombora yake yamedunguliwa, na mengine kupotelea porini. Israel imejibu kwa kuitandika Iran, makombora yote yametua na kuleta uharibifu. Iran imesalimu amri na kusema inasitisha mashambulizi, Israel imeendelea kupiga mpaka muda wa Jumatatu mchana. Israel imeamua kuacha baada ya kuona Iran imesalimu amri. Lakini Israel inaendelea kushambulia Hezbollah nchini Lebanon, na Iran haina cha kufanya.

Kwa hali ngumu ya uchumi inayopitia Iran, na vipigo ilivyovipokea tangu mwakajana, ni aheri kwao kutulia. Iran maneno mengi na vitosho vingi, lakini kwenye vitendo, ndiye anayeumia zaidi. Iran itulie ili kuokoa maisha ya wananchi wanaopitia nyakati ngumu za vita na umaskini mkubwa.
 
hii akijibu nishtue
Ajibu nn na kashajibu tatizo uyo Depo ndio kuelewa tatizo kaambiwa wa mwisho kushambulia ni Iranian yeye anadai Israel!!!

kwake msingi wa hoja yake anaweka muda wa Aljazeera ikitangaza habari usika!!!😜😜

Sasa mfumo wa Aljazeera unarudia habari iyo iyo kila baada ya saa moja 👈

mana ndio habari mpya kwa siku iyo!!👈

Lkn miongozo ya Iranian kwa Israel ni kutokupiga mji mkuu wa Beirut sio uko kusini mwa Lebanon

Iyo jana Mchana wameweka wazi Israel ikipiga Beirut au Iranian ndipo Iranian itachukua Hatua !!

Kwaiyo tangu uwo muda hakuna shambulio lolote kwa Iranian wala mji mkuu wa Beirut mpaka hii leo.

Ndiomana wengine tukasema Israel kwasasa hawezi kukiuka miongozo ya Iranian mana kuna kichapo !!

Iranian inachoamini siku zote Waisrael wanaelewa lugha moja tu nayo ni MOTO 💥💥💥tu.

Kwaiyo ili wakuelewe punguza meneno !!
we peleka MOTO kwao kwenye miji yao ndipo watakuelewa unaongea nini🤠🤠
 
Iran amesha choka na vita ndani hali mbaya anahitaji muda apumue kidogo vinginevyo njaa itawauwa. Taifa lina watu karibia milioni mia alafu kila siku vita na vikwazo watakula nini? Inahitaji busara kidogo ya kuwa mpole.
Soma Uzi kwanza.
 
Cha kuongezewa uyo Depo kunauzi kafungua kisha kaukimbia !!!!

Kwenye ule Uzi Depo anaoji Je Iranian watatimiza ahadi baada ya Beirut kupigwa so kwa ushahidi huu uyo Depo anajua miongozo ya Iranian kwa Israel 👈🫡🫡

ndiomana akaja na iyo hoja kudai Iranian watafanya nn baada Beirut kupigwa!!

Iranian tunawajua hawana ahadi hewa Kambi za kijeshi za Israel zikawaka MOTO na kisha kwa Ubabe wakapewa upya miongozo ileile 🤠

ukijigeuza maeneo yale na yale tunakupasua mbele ya Babako Marekani sisi hatujaumbwa na uwoga tutakubutua tu!!!!!!!!
 
Khaibar bado Israel inaendelea kushanmbulia Lebanon muda huu, Mbona Iran wapo kimya??????
Screenshot_20260609-103352.png
 
Cha kuongezewa uyo Depo kunauzi kafungua kisha kaukimbia !!!!

Kwenye ule Uzi Depo anaoji Je Iranian watatimiza ahadi baada ya Beirut kupigwa so kwa ushahidi huu uyo Depo anajua miongozo ya Iranian kwa Israel 👈🫡🫡

ndiomana akaja na iyo hoja kudai Iranian watafanya nn baada Beirut kupigwa!!

Iranian tunawajua hawana ahadi hewa Kambi za kijeshi za Israel zikawaka MOTO na kisha kwa Ubabe wakapewa upya miongozo ileile 🤠

ukijigeuza maeneo yale na yale tunakupasua mbele ya Babako Marekani sisi hatujaumbwa na uwoga tutakubutua tu!!!!!!!!
Israel bado anafanya mashambulizi muda huu huko Lebanon. Mbona Iran wapo kimyaa?
Screenshot_20260609-103352.png
 
Huelewi kinachoendelea!

Iran imejaribu kuishambulia Israel, makombora yake yamedunguliwa, na mengine kupotelea porini. Israel imejibu kwa kuitandika Iran, makombora yote yametua na kuleta uharibifu. Iran imesalimu amri na kusema inasitisha mashambulizi, Israel imeendelea kupiga mpaka muda wa Jumatatu mchana. Israel imeamua kuacha baada ya kuona Iran imesalimu amri. Lakini Israel inaendelea kushambulia Hezbollah nchini Lebanon, na Iran haina cha kufanya.

Kwa hali ngumu ya uchumi inayopitia Iran, na vipigo ilivyovipokea tangu mwakajana, ni aheri kwao kutulia. Iran maneno mengi na vitosho vingi, lakini kwenye vitendo, ndiye anayeumia zaidi. Iran itulie ili kuokoa maisha ya wananchi wanaopitia nyakati ngumu za vita na umaskini mkubwa.
Waulize pia Mbona Leo Iran yupo kimya wakati Israel bado anashambulia Lebanon Hadi muda huu. Al Jazeera nao wanashangaa vipi Tena mikwara ya Iran
Screenshot_20260609-103932.png
 
Tulikuwaga tuna waambia hapa kwamba Iran sio Venezuela mkawa mnatupinga

Yaani Iran imefikia hatua inatoa kichapo Kwa Israel kwaajili ya kuwasaidia allies wake Bila ya kumuogopa mbwa yoyote yule 😂😂🤣

Dunia Ina kwenda Kasi sana
Jana jioni Israel kaendelea kushanmbulia Lebanon, Leo Tena muda huu Israel anashambulia Tena Lebanon. Mbona Iran kimyaa?? Ala Jazeera nao wanashangaa pia
Screenshot_20260609-103932.png
 
Uongo haukusaidii kitu jamaa. Wa mwisho kushambulia ni Iran na mafa makubwa yameonekana Kiryat Shmona na Galilaya. Baada ya hilo shambulio Israel hajajibu hadi sasa.
Habari hauangalii peke yako kijana.
Pia kama kuhusu kula na social development Iran ina social development kuliko taifa lolote Afrika na Iran ina higher index of food security. Itakua umezaliwa juzi huijui Iran wewe.
Lebanon bado inashambuliwa huko, vipi Mbona Iran ipo kimyaaaa?
Screenshot_20260609-103932.png
 
Back
Top Bottom