Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.
Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na karibu na kiwanda cha nyuklia cha Iran.
Muda wa kutokea kwa tetemeko hilo na ukaribu wa tetemeko na kituo cha nyuklia kumesababisha uvumi mkubwa kwamba huenda Iran ilifanya jaribio la bomu la nyuklia.
Ingawa uvumi huo bado haujathibitishwa wala kukanushwa na afisa yeyote kutoka Iran, baadhi ya watu wamekuwa wakishare ramani na michoro kupitia mitandao ya kijamii wakieleza namna ambavyo ikawa tukio hilo huenda likawa ni la nyuklia.
Source: Hindustan Times
My take: Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke yao mbali sana na Iran.
Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waarabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.
Katika hali isiyotalajiwa jana kulikina tetemeko la ardhi mashariki ya kati, hilo tetemeko lilisababishwa na majaribio ya makombola ya nuclear chini ya ardhi nchini Iran. Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke makalio yao mbali sana na Iran. Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waharabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.
Sasa ni lazima dunia ijue ulimwenguni kidume wa vita ya mvua ya makombora ni iran tu USA ni dhaifu ana msaidia israel kupambana na wanamgambo ndani ya mwaka mzima vita haimaliziki wasema suuuu israel ifutwe kwenye uso wa dunia!
Katika hali isiyotalajiwa jana kulikina tetemeko la ardhi mashariki ya kati, hilo tetemeko lilisababishwa na majaribio ya makombola ya nuclear chini ya ardhi nchini Iran. Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke makalio yao mbali sana na Iran. Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waharabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.
Ilikuwa ni tarehe 5 ya mwezi huu wa 10 ndy tetemeko la ardhi Hilo lilitokea na Iran wenyewe wamekataa na kusema walikuwa wanajaribu missiles nyengine kabisa tofauti na nuclear bomb
Unazani atatuma bila ya kupiga hesabu zake vizuri anaweza akawaambia ingieni Lebanon Kwa mda alafu nkimaliza kazi baada ya mwaka mtarudi kuanzia kujenga Tena na maisha yaendelee
Katika hali isiyotalajiwa jana kulikina tetemeko la ardhi mashariki ya kati, hilo tetemeko lilisababishwa na majaribio ya makombola ya nuclear chini ya ardhi nchini Iran. Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke makalio yao mbali sana na Iran. Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waharabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.
Katika hali isiyotalajiwa jana kulikina tetemeko la ardhi mashariki ya kati, hilo tetemeko lilisababishwa na majaribio ya makombola ya nuclear chini ya ardhi nchini Iran. Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke makalio yao mbali sana na Iran. Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waharabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.
Kwahiyo hizo nuclear weapons ni selective, kwamba zitachagua non Muslim tu 😭😭, maana Palestine and huwezi kudondosha nuclear weapons haziwezi kutumika maana zitwkuwa ni self destruction.
Katika hali isiyotarajiwa jana kulikiwa tetemeko la ardhi mashariki ya kati, hilo tetemeko lilisababishwa na majaribio ya makombora ya nuclear chini ya ardhi nchini Iran. Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke makalio yao mbali sana na Iran. Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waarabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.