Iran yasemekana kufanya jaribio la Makombora ya Nyuklia chini ya ardhi Jumatatu 7/10/2024

Mafuta yachotwe kwa waarabu halafu uumie wewe mndengereko wa bongo🤣🤣🤣 wakati kwako wanachota gesi huku ukichelea
Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.

Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na karibu na kiwanda cha nyuklia cha Iran.

Muda wa kutokea kwa tetemeko hilo na ukaribu wa tetemeko na kituo cha nyuklia kumesababisha uvumi mkubwa kwamba huenda Iran ilifanya jaribio la bomu la nyuklia.

Ingawa uvumi huo bado haujathibitishwa wala kukanushwa na afisa yeyote kutoka Iran, baadhi ya watu wamekuwa wakishare ramani na michoro kupitia mitandao ya kijamii wakieleza namna ambavyo ikawa tukio hilo huenda likawa ni la nyuklia.

Source: Hindustan Times

My take: Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke yao mbali sana na Iran.

Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waarabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.

Wengine walikua washaanza stori za mungu wa israel ndie aliyesababisha tetemeko
Wazungu walitulisha matango pori sana kiasi kwamba kizazi hiki Cha uku kwetu hakitakuwa na faida duniani. Maana toka kinazaliwa kinakuta mwarabu na Mzungu wamesimama na Bible na Quran na vitisho vingi vya kuchomwa moto uko mbinguni. Watu wengi weusi wanakufa wakiwa bikra kwa maana kwamba hawajatumia akili zao hapa duniani.
 
Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.

Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na karibu na kiwanda cha nyuklia cha Iran.

Muda wa kutokea kwa tetemeko hilo na ukaribu wa tetemeko na kituo cha nyuklia kumesababisha uvumi mkubwa kwamba huenda Iran ilifanya jaribio la bomu la nyuklia.

Ingawa uvumi huo bado haujathibitishwa wala kukanushwa na afisa yeyote kutoka Iran, baadhi ya watu wamekuwa wakishare ramani na michoro kupitia mitandao ya kijamii wakieleza namna ambavyo ikawa tukio hilo huenda likawa ni la nyuklia.

Source: Hindustan Times

My take: Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke yao mbali sana na Iran.

Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waarabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.

Haka ni ka ndoto kazuri sana
 
Hiyo ni military strategy kutuma ujumbe kwamba nina nucreal japo sitaitumia kwasasa.......ila mkilazimisha ntaitumia tu.
Iran atachapika atake asitake.
Kwani marekani na Israel hawana nuclear?
Muiran alichemka sana kushambulia Israel anajihami lakini kichapo kiko palepale
 
Baada ya nuclear test, Iran imetangaza sehemu ya kupiga kama Israel atalipiza kisasi. Sehemu muhimu ni kituo cha nuclear Cha Dimona, vituo vya kufua umeme, military base. Bandari ya Israel etc. kama atafumua kituo Cha nuclear Ina maana Israel watu watakufa sana maana ni nchi ndogo sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20241007-134435.png
    Screenshot_20241007-134435.png
    171.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241008-123553.png
    Screenshot_20241008-123553.png
    345.8 KB · Views: 2
nuclear ni hatari zaidi ndio maana "UN" hairuhusu nchi yoyote kuzimiliki kiholela hakuna mfumo wa ulinzi unaoweza kuzuia nuclear.
Mkuu hydrogen bombs almaarufu thermonuclear is really deadly, fuatilia vizuri mkuu
 
Netanyahu
Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.

Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na karibu na kiwanda cha nyuklia cha Iran.

Muda wa kutokea kwa tetemeko hilo na ukaribu wa tetemeko na kituo cha nyuklia kumesababisha uvumi mkubwa kwamba huenda Iran ilifanya jaribio la bomu la nyuklia.

Ingawa uvumi huo bado haujathibitishwa wala kukanushwa na afisa yeyote kutoka Iran, baadhi ya watu wamekuwa wakishare ramani na michoro kupitia mitandao ya kijamii wakieleza namna ambavyo ikawa tukio hilo huenda likawa ni la nyuklia.

Source: Hindustan Times

My take: Hapo USA, Israel na NATO inabidi waweke yao mbali sana na Iran.

Uonevu wa Israel na USA dhidi ya waarabu na kuchota mafuta ya bure unakaribia mwisho. Soon wapalestina watajikomboa toka kwenye makucha ya Israel na USA.

Netanyahu anaweza kupata heart attack maana alisema kamwe hataruhusu Iran kuwa na nuclear ...sijui atafanya kitu gani kwa sasa
 
Iran hana nyuklia acheni hizo stori za masjid ubwabwa.
 
Ilikuwa ni tarehe 5 ya mwezi huu wa 10 ndy tetemeko la ardhi Hilo lilitokea na Iran wenyewe wamekataa na kusema walikuwa wanajaribu missiles nyengine kabisa tofauti na nuclear bomb
nimeona baadhi ya vyombo wamesema ni nuclear test
 
Iran atachapika atake asitake.
Kwani marekani na Israel hawana nuclear?
Muiran alichemka sana kushambulia Israel anajihami lakini kichapo kiko palepale
Mbona May Iran ilishambulia Israel na Israel hakufanya kitu!?
Kwani ni mara ya kwanza hii Iran anashambulia Israel!?
We jamaa huwa unaropokaga sana kama umekunywa pombe ya mnazi.
 
Back
Top Bottom