Wayahudi weusi wanaogopa sana huu uzi wanachugulia na kukimbia kama
Nguchiro😂
Marekani na Israel zinafikiria kuiwekea Iran vikwazo vya ardhi ili kuongeza shinikizo la kiuchumi baada ya miezi kadhaa ya vita kushindwa kuirejesha Tehran kwenye mazungumzo.
Pendekezo hilo lingehimiza nchi jirani ikiwemo Iraq, Pakistan, Turkey, Turkmenistan, Afghanistan, Armenia na Azerbaijan kuzuia vivuko vya mpaka na kupunguza uagizaji na usafirishaji wa bidhaa za Iran.
View: https://x.com/currentreport1/status/2083156896832450757?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
🇺🇸🇮🇷 Rais Trump anakubali Iran inazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi:Hiii watakuwa wameongea matamanio yao !!!
kama ndoto nyengine zilizoshindikana 👈
lkn hakuna nchi ktk ilo eneo itakubali ujinga wa aina iyo 👈
Sababu Iranian ni MOYO wa izo Nchi za jiran nayeye✍️