Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Dunia inaenda mbio sana wengine tunashukuru kuona Marekani wakitandikwa pamoja na Israel mbele ya macho yetu wenyewe 🤠
 
Saudi Arabia kaenda kuungama zambi zake kwa Iranian

Yani yote haya yanatokea mbele yetu kwahakika Dunia kweli haina mwenyewe 🤠
 
šŸšØšŸ”“ Haraka | Tangazo la Vita

ā€Žāœļø Ibrahim Zulfaqari, Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya:

ā€Ž"Kwa viongozi wa eneo hili: Ushirikiano wowote na Marekani ni vita dhidi ya Iran! Lango la Hormuz ni mstari mwekundu, na uingiliaji wa Marekani ni marufuku kwa gharama yoyote ile!"

ā€Žļ“æNa ushindi haupatikani ila kutoka kwa Allah šŸ‡®šŸ‡·

View: https://x.com/iranarabicmedia/status/2114706631602913522?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mnahangaika bure tu huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!
Dunia inaenda mbio sana wengine tunashukuru kuona Marekani wakitandikwa pamoja na Israel mbele ya macho yetu wenyewe 🤠
Ndoto za Mwendawazimu!!
 
Mnahangaika bure tu huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!

Ndoto za Mwendawazimu!!
Wewe punguani kweli umemsikia juzi Obama, kwenye kampeni Michigani anasema kuhusu HormuzšŸ˜‚
 
Mnahangaika bure tu huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!

Ndoto za Mwendawazimu!!
🚨 HABARI MPYA:

šŸ‡®šŸ‡± Netanyahu: "Hakuna sehemu yoyote Tehran iliyo salama. Ndege zetu zinatawala anga lenu."

šŸ‡®šŸ‡· Jenerali wa Iran: "Ndege zenu zitahitaji mafuta ili kurudi. Labda mnapaswa kuangalia kama meli zenu za kuongeza mafuta katika Ghuba bado zipo juu ya maji."

Ukatili wa hali ya juu.

View: https://x.com/mojtabakhamen/status/2114949611530182734?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
āš”ļøHABARI MPYA:

Mkuu wa Usalama wa Iran azungumzia mkutano wake na maafisa wa ngazi za juu kutoka Pakistan, Uturuki na Saudi Arabia:

"Kutokana na ustahimilivu wa taifa la Iran na nguvu ya Majeshi yake, mazingira mapya na chanya yamejitokeza katika eneo hili—jambo linalodhihirika katika mazungumzo yaliyofanyika na maafisa wa ngazi za juu kutoka Uturuki, Pakistan, na Saudi Arabia.

Maafisa wa ngazi za juu kutoka Uturuki, Pakistan, na Saudi Arabia walieleza mtazamo kuwa suluhisho la changamoto za eneo hili linapatikana kupitia ushirikiano kati ya mataifa hayo manne.

Tulifikia hitimisho kwamba usalama katika eneo la Asia Magharibi lazima ujengwe kutoka ndani, na kwamba ni lazima kuzuia aina yoyote ya uingiliaji wa kigeni."

View: https://x.com/iranirgcc/status/2114776200698802377?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🚨 HABARI MPYA:

Ndege zinaendelea kudondoshwa nchini Kuwait na mifumo ya Iran ya kupambana na ndege, kabla hata hazijafanikiwa kushambulia ndani ya ardhi ya Iran.. šŸ˜±šŸ”„šŸ’€

Jamhuri ya Kiislamu bado haijatumia uwezo wake wote katika uwanja wa vita, na yale yatakayofuata yatakuwa makubwa zaidi! šŸ‡®šŸ‡·šŸ‡°šŸ‡¼āœˆļøšŸ”„šŸ’„

View: https://x.com/irmil_x/status/2114779819632452086?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Tumaini jipyaa la usafirishaji kupitia reli litaongeza fursa nyingi za kiuchumi

ni jambo jema kupatikana fursa yenye kufungua
mawasiliano Ya kimkakati !

Maunganiko yenye tija na Safari ndefu ya mapambano ya Ubaberu wa Marekani :BanHammer:
 
Kupigwa kwa Marekani mbele ya macho ya ulimwengu ni zawadi kubwa kwa ushahidi wawazi kwamba hakuna kisichowezekana chini ya jua

Makambi mengi yamekimbiwa kwenye eneo
Lkn Marekani kashindwa kufungua Hormuz
Pamoja na kuundanganya ulimwengu kwamba wao ndio Jeshi kubwa Duniani

Echolima1 unapaswa kujiuliza kwanini Trump kaondosha Vikwazo vyake vya Mafuta kwa Russia

Kiakili tu kitendo hicho ni kushindwa Kijeshi mbele Dunia

Sababu huwezi kutatua tatizo wkt mmoja na kuongeza tatizo wkt mmoja

Pesa anazo vuna Russia sio rafiki na VITA vya Ukraine

Vita ambavyo Marekani uyo uyo anatumia pesa nyingi sana kuviendesha ā€¼ļø

Kitendo kile tu ni kutangaza kushindwa na Iranian kijeshi

Mafuta yapo Gulf States kashindwaje kuyapitisha kama sio
kushindwa Vita ā“
 
Kwani Obama ni nani kwako? Ni Mungu wako?
Mzee wa Uharo Mungu wako Netanyahu yupo hoi uko na chama chake. Waarabu ndiyo wataamua nani awe Waziri mkuu šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom