Mnahangaika bure tu huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!๐จ๐ด Haraka | Tangazo la Vita
โโ๏ธ Ibrahim Zulfaqari, Msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya:
โ"Kwa viongozi wa eneo hili: Ushirikiano wowote na Marekani ni vita dhidi ya Iran! Lango la Hormuz ni mstari mwekundu, na uingiliaji wa Marekani ni marufuku kwa gharama yoyote ile!"
โ๏ดฟNa ushindi haupatikani ila kutoka kwa Allah๏ดพ ๐ฎ๐ท
View: https://x.com/iranarabicmedia/status/2114706631602913522?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ndoto za Mwendawazimu!!Dunia inaenda mbio sana wengine tunashukuru kuona Marekani wakitandikwa pamoja na Israel mbele ya macho yetu wenyewe ๐ค
๐จ HABARI MPYA:Mnahangaika bure tu huko Hormuz kuna Naval-Bloackade ya Marekani!!
Ndoto za Mwendawazimu!!
Kwani Obama ni nani kwako? Ni Mungu wako?Wewe punguani kweli umemsikia juzi Obama, kwenye kampeni Michigani anasema kuhusu Hormuz๐
Hahaha Mzee wa uharo umepanic.Kwani Obama ni nani kwako? Ni Mungu wako?
Kwani Obama ni nani kwako? Ni Mungu wako?