Iran yateka Drone Nyambizi mpya ya Marekani


Na hii Mkuu Bot ya kijesh ilizimwa Mawasiliano yake
Ilipokaribia Maji ya Iranian

Wajeda wa USA waka Surrender wote 👇
 

Attachments

  • 4cbtb4c4260e742omgh_440C247.jpg
    28.8 KB · Views: 16
  • download-1.jpeg
    8.3 KB · Views: 13
Hakuna nchi nyengine imewai kufanya aya tunayaona kwa Iranian

Sababu Marekani nguvu zake kuu ni Technology

Sasa kakutana na mjuzi zaidi yake
Ndiomana Marekani anashidwa kufanya yale tunaona
kwengine 🤠🤠
 
Mkuu Acha kuleta taharuki, si tulishaambiwa kwamba Iran haina jeshi la Maji tena maana lote lilisambaratishwa na majeshi ya US na Israel. Sasa hii imewezekanaje!! Hahahhaha
 
Na hii Mkuu Bot ya kijesh ilizimwa Mawasiliano yake
Ilipokaribia Maji ya Iranian

Wajeda wa USA waka Surrender wote 👇
Nakumbuka hii Mkuu.
Ukisema wajeda wa USA utakua umepunguza uzito wa taarifa ,SEMA US Special force.
Hao hawakua wanajeshi wa kawaida,walikua ni makomando wenye mafunzo ya Hali ya juu sana walitumwa kwenda kufanya operation moja ya hatari sana,wakaishia kudakwa kama wasomali wanapenda kutafuta maisha South Afrika Wanavyodakwa na Trafiki wa bongo .
 
Mkuu Acha kuleta taharuki, si tulishaambiwa kwamba Iran haina jeshi la Maji tena maana lote lilisambaratishwa na majeshi ya US na Israel. Sasa hii imewezekanaje!! Hahahhaha
Mkuu acha kabisa,hii Dunia ngumu sana hii.
Msemo wa kiswahili Unaosema "Ukiwa Muongo usiwe Msahaulifu"
Huu msemo unawahusu wamarekani.
Ukweli walituambia Jeshi la Majini la Iran limeangamizwa,Sasa sijui hili Jeshi lililokamata nyambizi drone sijui limetoka wapi.
 
Hili mbona lipo wazi sana mkuu kama nyeti za mbuzi
Kiufupi iran bado haijaanza ila super glue naona kabakisha nyuklia pekee
 
Yaani Hadi raia wa Marekani kwenyewe wanaona aibu wao Sasa,yaani wanaona sivyo kama walivyokua wanafikiria.

Wajuzi wanatwambia Dunia inazunguka ktk kuzunguka ndivo
Elimu inasogea sehemu
nyengine👈

Vijana wa Marekani Ulaya wamedanganyika kwamba wao wapo juu na hawawezi
fikiwa❗️

Kumbe sivyo jinsi Mzunguko unaenda ndio na ujuzi unaenda kwengine

Kwasasa Vijana wao wanapenda zaidi Kupombeka na ujinga mwengine

Sio kusoma tena✍️
 
Mkuu,naomba unifafanulie hiki nilichonukuu hapa.
"Jeshi la Wanamaji la IRGC lilisema chombo hicho kilikabidhiwa kwa jeshi la Marekani mwaka 2025 na sasa kipo mikononi mwa Iran kama "nyara." Ni kitu gani kilifanyika au walirudishiana?
 
Uko sahihi kabisa.
Ila napenda nikukumbushe kua Marekani hua ana tabia ya kupigwa na vitoto vidogo.
Kumbuka Cuba, Vietnam,Somalia, Afghanistan na Sasa Iran.
Kibaya zaidi safari hii mashoga zake wa ulaya wamemuacha achezee peke yake.
Tena sio peke yake kabisa,yaani peke yake na Mwanae Israel.
Kama unavyosema ni kweli Dunia imepinduka.
 
Mkuu hata kule Jordan hao US walisema kombora zote za IRGC zimetunguliwa cha ajabu baada ya wiki wakaja kukiri uharibifu na vifo.

So when it comes to fact-check, US can't be trusted.
Walituambia hivyo na Kwa Aircraft carrier,kua hazijapigwa lkn Cha ajabu ziliondolewa eneo la vita.
Sasa sijui walizipeleka enea la vita kwa ajili ya kupiga picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…