Kama amekufa imewezekana vipi amefanya teuzi, na huyo Pezeshkian alifanya kikao na mzimu wake au?Huyo inawezekana alishapelekwa kwa mabikra 72 kitambo na hawa sasa wamebaki kulisha watu matango pori tu.
It's the time that perfects everything so one day time will prove me right.
Video obvious ni ya zamani, na imetolewa na media tu kama Jambo TV tu sio kwamba serikali au IRGC ndio imetoa kwahiyo hicho kichwa cha habari ni misleading.Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel.
Iran imeripoti siku ya Jumapili kwamba Mojtaba amekutana na rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ambae anaanza mwaka wake wa watu akiwa ofisini.
Hii ni baada ya tetesi mbambali kutokea kuwa Inawezekana kiongozi huyo mpya aliyemrithi baba yake Ayatollah Alli kufariki ikiwa ni muda kutoonekana hadharani tangu tukio la Mashambulizi ya Februari 28, 2026
Hamna unalojua wewe, huyo Rais Pezeshkian mbona amshalengwa na mabomu zaidi ya mara 5 ila walimkosa.Huyu atakuwa alipata majeraha makubwa,sema US na Israel Wana strong intelligence,walifyeka vibaka yaaani top top leadership,I hope wakitaka kupita na Aragachi, Galbaf na raisi ni chap ila wanawaacha tu