Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon
Ameshikilia point Tatu kwamba
1. Iran Ana play part ya kupoteza maboya kwa watu Huku Aki side na israel kwa kuvujisha Siri za kambi,
Anatuhumu kwamba Iran ndo wametoa location kwa Kiongozi wa Hamas , Kasema kwamba hata hayo wanayosema wanajifanya kushambulia baadae ni uhuni wa kuhadaa wana mapinduzi wa Kweli!
Hayo yote kayatema nyongo baada ya IRAN Tena kumpa mwaliko kiongozi wa HAMAS aliyebaki Kwenda Tehran !
Akisema ni mbinu Iran wanaitumia kwa ujanja waki side na Israel,
Leo hii Kiongozi aliyebaki bwana Khaled Mashal HAMAS amepewa mwaliko rasmi kutembelea Tehran!
Wana mashariki ya kati wengi wameingiwa na mashaka juu ya Iran,
2. Wengi Wamesema hata makombora kadhaa ambayo yalirushwa miezi kadhaa Kwenda israel yakitokea IRAN hayakuwa ya kweli,