Tetesi: Irani na Israel sio Maadui. Tulidanganywa

Wewe ni muislamu kuliko wasaudi ambao wanaona na hawajali?

Hao wasaudi ambao hawajitambui wakialika matamasha, na kununua wachezaji na mabaya mengine yasiyompendeza Mwenyezi Mungu, je! Ni sawa?
 
Propaganda za kichochezi.
 

Hii habari ni kutoka Tv au Redio Mrengwa wa kulia au gazeti la Mrengwa wa kulia limeandika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…