Iranian Elections: Ahmedinejad's Victory and The Aftermath!

Iranian Elections: Ahmedinejad's Victory and The Aftermath!

Aisee we need to have one...ila mi napenda strip club? Let me know if you're game..

Wewe?, boyz night out ya nani, I think we're going out for dinner tonight??,umeshasahau ivo...si nimekwambia toka juzi I feel like Thai food..

Mh!, wanaume!, usahau annivesary, birthdays, na sasa hii...kazi ipo!

I aint feel like cooking.

Nadhani mpaka hapo ushapata jibu mkuu.
 
Kuna mawili,

I.Hawataki regime change in Iran kwa sababu itasukuma wananchi wa nchi nyingine in the region to do the same kudai mabadiliko kwenye nchi zao.

II. Hawawezi kuisupport Iran.

Ambivalence itakuwa inawapelekesha sana.

Smart analysisi E.
 
People, you see??

Is this Iran who want to have Nukes?
 
Hivi mmegundua kuwa hakuna nchi yoyote ya mashariki ya kati iiliyotoa tamko lolote kuhusiana na hali ya Iran?

Ofisi za balozi za nchi nyingi za magharibi(ukiondoa Canada) zimefungua milango kwa majeruhi ili wapate huduma ya kwanza.

Tamko ambalo serikali ya Obama itatoa sana sana litakuwa ni kulaani utumiaji wa nguvu kwenye kuvunja maandamano hakuna kingine watakachofanya wazi wazi.

Unajua mkuu nchi the Middle East zitaogopa kuonekana zina side na U.S. over one of their own. Kila mtu sasa anacheki upepo unaelekea wapi. This issue is sensitive na wanataka kumake sure kwamba haitakuja kuwarudia.
 
Mbona Marekani na Israel wanazo?

Mwana F, that will be unfinished debate, tukianza kusema nani anazo na nani hana. Most important my dear ni To STOP NUKES WAR, iwe cold war au the real war...It's not safe, Period. I dont think kusema fulani anazo na fulani hana is a good argument.
 
Yes it a good argument kwa sababu kama wewe hytaki wenzako wawe nazo halafu wewe unazo just doesn't make sense. Who appointed you to be the police of the world and dictate who should and who shouldn't have? I smell big time hypocrisy
 
Nakubaliana na wewe hapo. Lakini Marekani kama "leader of the free world" si alitakiwa aonyeshe mfano na kuondokana na silaha hizo? Wengine hawaondokani nazo because wanajua Marekani yeye he won't get rid of his. And fisrt of all Marekani ndiyo the first kuwa na hiyo technology wengine wakaiga.
 
Mbona Marekani na Israel wanazo?

Halafu mu-Israel asivo na akili nzuri, anajiandaa kisawa sawa ile mbaya sasa hivi...I wont be suprised nikisikia in one way or another ana stir up things inside Iran, ili kuwe more destabilize apate upenyo.

What do you think wakuu?? how is Israel positioning itself in this??
 
I think Israel atakaa kimya tu. I don't think atataka attention igeukie kwake.
 
Yes it a good argument kwa sababu kama wewe hytaki wenzako wawe nazo halafu wewe unazo just doesn't make sense. Who appointed you to be the police of the world and dictate who should and who shouldn't have? I smell big time hypocrisy

Wao walikuwa wapi wakati mimi natengeneza?? it's just not that time anymore, lets try and make the World a better place to live.
 
Wao walikuwa wapi wakati mimi natengeneza?? it's just not that time anymore, lets try and make the World a better place to live.

We will make the world a better place by getting rid of all the nukes....America and Russia should set that example
 
Back
Top Bottom