Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei to speak in a video message soon By Reuters

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei to speak in a video message soon By Reuters

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Iran’s Supreme Leader Khamenei to speak in video message soon
By Reuters
Today, 12:56 pm
Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei will speak within the next few minutes in a video message, his first message since Washington announced a ceasefire between Iran and Israel, his account says.
 
Anaogopa nini mpaka azungumze tokea pangoni?
 
Anaogopa nini mpaka azungumze tokea pangoni?
Kuna Magaid wa Israel kwasasa Israel aina nguvu za kupambana uso kwa uso inasikisha lkn ndio ukweli ulivo kwasasa!!!

Israel au taifa teule la mchongo linavizia adui yake kalala anamrushia boom niwazi kwasasa wameishiwa nguvu za Vita !!!

niwazi vitendo vinavyofanywa na Israel kama vingefanywa na taasisi nyengine kuvizia mtu kalala !!!

kelele za kuitwa Magaid ungekuwa ndio wimbo wa Media zote Dunian !!!

ukiona kijana anaokota jiwe basi faham kajipima kaona mkono naww akuwezi ndio anakimbilia Ugaid au kuokota jiwe
 
Atoke kwenye hayo mashimo, vita imeisha.
Kwann wewe ujui kuwa kwasasa Waisrael wamegeukia vita ya Kigaid !!!

mtu kalala wanampiga boom zile nguvu walikuwa wanatwambia kwenye Media kumbe ndio izi !!!

mtu kalala unampiga boom wangefanya adui zao wangewaita MAGAID !!

wakifanya wao kuna Walokole wanawasifia utasikia Mossad ao mtu anakupogia kwako Walokole mzigo kwa taifa.
 
Mpaka Trump anasema hatutamuuwa na tunajua alipo, ila wakaogopa kwa sababu waliwalisha watu matango pori kuwa Wananchi hawamtaki

Ila hii vita haikuwa ndogo maana siku 12 tu hasara kama zote

Sijui mimi ningepigana siku ngapi
 
Back
Top Bottom