IRAQ HUDU afariki dunia!

Sir Good

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
1,031
Reaction score
412
Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin.
 
Mkongwe sana au!!!!mgeni huyu sijawahi kumsikia.rip bondia.
 
Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea
 
Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea

Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe.
 
Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe.

Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…