Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bondia mkongwe Iraq Hudu hatunaye! Mungu amlaze pema peponi amin.
Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea
Kitambo sana,itakua enzi za Libondo,Mabesi,Marwa kama sijakosea
Marwa ni wa juzi tu, Hudu ni enzi za kina Libondo na Mabedi. Iraq Hudu alikuwa anajiita Kimbunga, wakati Stanley Mabesi akijiita Mawe.
Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja
Nakusahihisha mkuu wimana...charles libondo ndiye aliyekuwa na aka ya mawe na stanley mabesi alikuwa na aka ya ninja