Dah kuna maeneo umenitajia ngoja tusimalize utamu wake hapa...kuna post yake rasmi itakuja...na Mungu akipenda mwakani nitaenda mitaa hiyo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ukienda fikia Najaf hasa wakati wa Ashura , tukiwa hai unitafute nikupe watu wa kukupeleka maeneo mengi pale, watu wa Najaf wakarimu sana hasa kwa watu weusi, Iraq ina menngi ngoja niishia hapa pia
Babylon ni wapi?
Then Babylon shall never rise again alisema Alpha BlondyBabylon was a key kingdom in ancient Mesopotamia. The city was built on the Euphrates river and divided in equal parts along its left and right banks, with steep embankments to contain the river's seasonal floods.Wikipedia
Capital: Babylon
Founded: 2300 BC
Location: Hillah, Babil Governorate, Iraq
Abandoned: c. AD 1000
Weather: 16°C, Wind NW at 18 km/h, 28% Humidity
Medecins Sans Frontieres ( MSF) where I worked the base was in Najaf few Kilometers . Najaf Baghdad is 60km the city is in between Najaf and Baghdad , passing Karbala.
Hakumaanisha Babylon hiyo.Then Babylon shall never rise again alisema Alpha Blondy
He might be wrong
Ngoja nikae Hapa ........Kuna jambo la ajabu ambalo wengi hawajalitambua... Nimejaribu kuunganisha dots, nikaingia Google kupata support ya picha na mawili matatu!
-Je unajua chochote kuhusu anguko la mji wa Ninawi na anguko la Saddam Hussein?
-Je unajua lolote kuhusu wairaq wa Mbulu Arusha kulikogunduliwa binadamu wa kwanza na wairaq wa Mashariki ya kati kunakosekana dunia ilianzia hapo!? Angalia mahali ilipo Eden, Ninawi, bahari ya Sham nknkView attachment 568238View attachment 568239matukio mawili ya kufanana yaliyotokea katika nchi moja kwa tofauti ya maelfu ya miaka! Nitarejea kwa mahesabu yakeView attachment 568240View attachment 568241
Kuna ufunuo hatujafunuliwa, yanayotokea mashariki ya kati ni unabii, unabii hauna budi kutimia.... Ni kipindi tu kitapita.... Achana na ukristo na uislam kuna makubwa kuliko hizi imani
Unaposoma misahafu unashawishika kabisa dunia tunayoifahamu ilianzia mashariki ya kati.... Hapa mahali hapatakaa paangamie kamwe.... Mbeba maono hafi.... Ni lazima unabii utimie
Hii ni part one nimetoka meditation naingia kilingeni.....
Stay tuned!
Sent using Jamii Forums mobile app