Iraq itasimama tena

Iraq itasimama tena

Mtoa uzi ana tuaminisha binaadam wa kwanza Katokea Arusha Tanzanian sijui kisayansi au kiiman hao ndio wasomi wetu na Historia yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
syria marekani kishanyanyua mikono juu,CIA kasitisha kuwapa silaha ISIS,
vita viko ukingoni,
mipango ya marekani sasa ni kuharibu iran,
bado sasa wanajipanga baada ya kumpoza kidogo kim Un,mambo yataanza pale iran mda si mrefu
Marekani kashaichukua Raqqa,ameshaweka vibaraka wake waki kurdi na atakuwa pazuri sana katika kuichunguza Syria na muda sio mrefu utaskia ameweka kambi ya Jeshi ku counter ile ya Russia.Usifikiri wamarekani ni wajinga kama unavyodhani,We unaamnini maneno mepesi tu eti kusitisha kugawa silaha ndio wameondoka Syria,Unafahamu walishawapa silaha kiasi gani na mafunzo kiasi gani?.Mambo ya kijasui wewe uanchambua kisiasa.
 
Syria ngoma bado ngumu sema tu kwa sasa imetulia.
 
Marekani kashaichukua Raqqa,ameshaweka vibaraka wake waki kurdi na atakuwa pazuri sana katika kuichunguza Syria na muda sio mrefu utaskia ameweka kambi ya Jeshi ku counter ile ya Russia.Usifikiri wamarekani ni wajinga kama unavyodhani,We unaamnini maneno mepesi tu eti kusitisha kugawa silaha ndio wameondoka Syria,Unafahamu walishawapa silaha kiasi gani na mafunzo kiasi gani?.Mambo ya kijasui wewe uanchambua kisiasa.
16e2a144a603ab6acd843b876d657b54.jpg
Marekani hacheleweshagi kashaweka kambi zake hapo Syria,unadhanin Mchina si mjinga kumlinda NK coz anajua bwana mdogo akichapwa bhas Marekani atakua mlangoni mwake
 
nadhani iraq ndio babeli mji uliokua kinyume na mungu wakati mwingi, na baadhi ya maandiko umeutabiria kuanguka. lakini kwakua mada inaendelea ngojea tuone uhalisia ni upi.
 
Back
Top Bottom