Iraq itasimama tena

Marekani hacheleweshagi kashaweka kambi zake hapo Syria,unadhanin Mchina ni mjinga kumlinda NK coz anajua bwana mdogo akichapwa bhas Marekani atakua mlangoni mwake
Mzungu anakufa anakatwa koromeo kama kuku wa pasaka huko it is not easily as we think tazama askari ambao Obama aliwatoa Iraq.

most of us tunasikiliza
BBC
CNN
DW
ABC
zote Western broadcasts.
Mtu anaenda mzima anarudi chizi.
Delta force commando analia kwenye TV program kama mtoto.
 
Usijali mkuu utaona tu....

Kwanini umesema "huwewezi jua"?

Unamaanisha nini?
Hapo namaanisha kuna baadhi ya mambo sivyo kama yalivyo au yanavyoonekana machoni pa wengi

huwezi jua
 
Yeremia 51 : 37 - Na Babeli utakuwa magofu, makao ya mbwa-mwitu, ajabu, na mazomeo, pasipo mtu wa kukaa huko.

Huo ndio mwisho wake Babeli (Iraki) hata mwanadamu angefanya jitihada gani halitawezekana hilo Sadam alijaribu kutaka kuurejesha akakumbana na vita ya ghuba akaacha vita ilipoisha akaanza harakati tena marekani wakavamia mpk kifo chake na sasa Isis nk kuthibitisha Neno la Mungu huo mji utakuwa magofu hautajengeka tena
 
Sasa Babeli ambayo ni magofu na ni nyumba ya Mbwa-mwitu na ya mzomeo pasipo kukaa watu ni ipi Sadam alitaka kuireje?
 
Sasa Babeli ambayo ni magofu na ni nyumba ya Mbwa-mwitu na ya mzomeo pasipo kukaa watu ni ipi Sadam alitaka kuireje?
Ukirejea kwenye hoja yangu ya awali utaona kuna mahali nilisema japo ziwepo jitihada za wanadamu kutaka kurejesha mji wa babel hilo halitawezekana
Mji wa Babeli ulitamkiwa hayo miaka mingi nyuma kuanzia kwa mfalme Nebukadneza mpk mwisho wake enzi za mjukuu wa Nebukadneza ambaye alikuwa mfalme Belshaza sasa toka wakati huo mpk leo ni lazima mji ulijengwa tena kama ambavyo sehemu nyingine zilivyojengwa na hivyo Sadam Hussein alikuwa na lengo la kuifanya Iraki ama Babeli irudie ktk enzi zake na aliazimia kuujenga upya na maandiko mengi yameandikwa juu ya hilo lkn biblia ilishasema kama nilivyoquote hapo juu kuwa halitawezekana
 
Yaliyotokea Iraq wakati wa vita huwezi amini, viatu vya wanajeshi vilikuwa vinayeyuka kwa jua
Lakini Mimi nilikuwa huko miaka kibao sijawahi ona vikiyeyuka.
Nge walikuwa wanatoka mamia kwa mamia
Mengine ni kama ndoto acha niishie hapo
 
Babeli unayoisema wewe haipo kabisa leo?

Yaani sehemu ilipokuwa Babeli hakuna mji wowote ni magofu kama unavyodai?
 
Yaliyotokea Iraq wakati wa vita huwezi amini, viatu vya wanajeshi vilikuwa vinayeyuka kwa jua
Lakini Mimi nilikuwa huko miaka kibao sijawahi ona vikiyeyuka.
Nge walikuwa wanatoka mamia kwa mamia
Mengine ni kama ndoto acha niishie hapo

Yaliyotokea Iraq wakati wa vita huwezi amini, viatu vya wanajeshi vilikuwa vinayeyuka kwa jua
Lakini Mimi nilikuwa huko miaka kibao sijawahi ona vikiyeyuka.
Nge walikuwa wanatoka mamia kwa mamia
Mengine ni kama ndoto acha niishie hapo

Veteran.

Tony nave 6 age baba yake kafia iraq.

Baba na mama.

Brothers wa marehemu wa vita ya IRAQ.

Anamlilia rafiki yake very painful.


crying soldier

Dead us snipers in Ramadi.



Vita tuisikieni tu redioni.
The U.S. War Casualties the Pentagon Doesn’t Want You to See.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…