Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umepigwa katika shambulio la makombora, vyanzo vya usalama vya Iraq vimeiambia shirika la habari la Reuters leo Jumamosi.
Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, shambulio hilo limesababisha moshi kuonekana ukipanda kutoka katika jengo la Ubalozi huo, ingawa hawakutoa maelezo zaidi kuhusu kiwango cha uharibifu uliotokea.
Soma pia: Ubalozi wa Marekani Saudi Arabia washambuliwa na ndege 2 zisizo na rubani
==========
The U.S. Embassy in the Iraqi capital Baghdad was hit in a missiles attack, Iraqi security sources told Reuters on Saturday.
The attack caused smoke to rise from the embassy's building, the sources said, without providing details on the damage.
Source: Reuters