Swali la kipumbavu kwanini USA nae apigi Iran moja kwa moja kutoka kwake pentagon mpaka atokee Iraq?Kwann Iran hawapigi moja kwa moja USA, au HATA UK kwenye ubalozi wa USA
Umbali kutoka US na Iran,hata US wanaipiga Iran kutokea nchi nyingine zilizo jirani. Pia Iran hawana makombora ya mabara kwa mabara( ICBM).Kwann Iran hawapigi moja kwa moja USA, au HATA UK kwenye ubalozi wa USA
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Umenivunja mbavu asubuhi na mapema sanaaKombora moja lingekosea njia likapiga chamwino au magogoni pale,ili hiyo siku na sisi tuongeze urefu milingoti ya bendera.
Point yangu n hii.Umbali kutoka US na Iran,hata US wanaipiga Iran kutokea nchi nyingine zilizo jirani.
Ww ndio mpumbavu, kwan Umeelewa nn maana ya Iran kumpiga USA?Swali la kipumbavu kwanini USA nae apigi Iran moja kwa moja kutoka kwake pentagon mpaka atokee Iraq?
Is this also fake news?Fake News everywhere yeah Fake News and propagandists are everywhere, thank you!
Exactly, yours is very fake news, don't you see by yourself that your writing a fake news, propagandist, are you?Is this also fake news?
Accusing something of being fake news requires evidence. Show the facts so we can discuss it properly.Exactly, yours is very fake news, don't you see by yourself that your writing a fake news, propagandist, are you?
Kutoka Iran mpaka Marekani kwa ndege ni Siku nzima,ni vigumu muiran kumpiga mmarekani moja kwa moja Ndio maana hata Marekani anampiga muiran kwa Msaada WA nchi jiraniKwann Iran hawapigi moja kwa moja USA, au HATA UK kwenye ubalozi wa USA
Ahahah.zikiletwa zakushambuliwa watetezi wenu ma/shoga mnasema fake news..Fake News everywhere yeah Fake News and propagandists are everywhere, thank you!
Kwann Iran hawapigi moja kwa moja USA, au HATA UK kwenye ubalozi wa USA