Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Sasa mbona umeandika kavu kavu bila kibebeo? She was 6 according to who? There is no excuse to anyone when the matter of Islam is addressed.Aisha رضي الله عنها was 6-7 at the time of the contract and 9 at the time of consummation. This is the correct view, established by the authentic narrations and supported by the learned Ulema.
They lie, saying she was 17 or 18 to please the kuffar, and if they choose the "moral" age was 25, then they make up some excuse to make it seem like she was 24 or 25. How shameful is it tell baseless lies and be ashamed about your religion, kneeling and licking their heel!
Tupe evidence mzee sio unajimaliza kabisa hili suala hapa jukwaani limekua kawaida ukweli uongo ukisemwa sana inageuka kweli hata mkiambiwa nyie ni kuunga tu mazayuni yamewaharibia sana vitabu kwa uongo ndio maaminj naona watu washakua wajinga kuzusha upuuzi tu usio na maanaMiaka 9 hata ungo anakuwa hajavunja.
Kwa hiyo anaenda kuvunjia kwa Mwanaume ?
Je atakae muelekeza jinsi ya kuvaa sodo ni nani ?
Ni huyo Mwanaume ??
Anajua mambo ya wanawake ya sirini ??
Ila nyie wenzetu sometimes aisee !
Hapa wairaq wamezingua wako against Quran, waliangalie sanaSheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa, jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo
imepingwa vikali na Wanaharakati Nchini humo wakidai kuwa ni yenye kuhalalisha udhalilishaji wa kijinsia kwa Watoto ambapo pia inaelezwa kuwa Sheria hii inataka kufuta moja ya sheria bora zaidi za haki za Wanawake katika Mashariki ya Kati, ambayo inawapa Wanawake haki za kudai talaka, malezi ya Watoto, na urithi.
Wanaharakati na baadhi ya Wabunge wa Iraq wanapinga kwa nguvu pendekezo hili, wakisema kuwa litakuwa janga kwa haki za Wanawake na Watoto, Raya Faiq, ambaumye ni Mratibu wa Makundi ya kupinga sheria hii, alisema kuwa pendekezo hili litaruhusu Ndoa za Watoto na kuminya haki za Familia za kukataa Ndoa hizo huku akiweka wazi kwamba sheria hii ingekuwa ni njia ya kisheria ya kuruhusu udhalilishaji wa kijinsia kwa Watoto.
Pia, soma: Bunge la Iraq lajadili mpango wa kuruhusu ndoa za utotoni, kushusha umri wa mabinti kuolewa hadi miaka 9
Aidha Serikali ya Iraq, kwa upande wake, inadai kuwa mabadiliko haya yatasaidia kufuata sheria za Kiislamu, wakisema kwamba yatawalinda Wasichana kutoka kwa mahusiano yasiyofaa lakini hata hivyo, Wanaharakati wanasisitiza kwamba sheria hii itawarudisha nyuma Wanawake na Watoto kwa miaka mingi.
Sheria hii ilipitishwa kwa mara ya pili Bungeni mnamo Septemba 16, 2024, na inatarajiwa kupitishwa tena kutokana na msaada kutoka Vyama vya Shia Nchini humo lakini hata hivyo inaelezwa si Vyama vyote vya Shia vinaunga mkono sheria hii, na bado kuna juhudi kubwa za kupinga.
Mapambano haya ni muhimu kwa Wanawake wa Iraq, ambao wanapinga vikali hatua hii, wakiitaka Serikali kuepuka kurejesha nyuma haki za msingi za Wanawake na Watoto.
Kwani Mtume alipewa huo utume na nani ?Hapo bibilia ili jaribu kumhalalisha Paulo kumbe inamtukanisha kabisa. Alitaka asema yeye ni Mtume wakati hakuna aliye mpa utume sio Mungu wala sio Malaika wa Mungu kamfikishia ujumbe. Sa huo utume fake ni wake 😆
Hio miaka 9 nyie mmeitoa wapi? Kwenye Quran hamna kitu Kama hicho na kwenye hadithi Kuna mkanganyiko wa Hilo jambo sema watu wangi wamekomaa na miaka 9 ili kuonyesha Kama udhalili TU Kwa mtume, ndoa ya kiislam haipitishwi kwa mwanamke Ambae haja vunja ungo na asiejitambua au kutambua nin maamuzi yake. Mimi napinga bi Aysha r.a hakua na miaka 9 wakati anaolewa let's Challenge
Anzisha uzi mimi ntadebate mimi sianzishagi uzi sipendeleiSasa we ungeweka darasa hapa la kuweza kusahihisha hilo jambo. Mfano ungeweka hapa masahihisho ya umri wa Bi Aysha ukasema kwa mujibu wa hiki na hiki au aya hii na hii inaonyesha kuwa bi Aysha aliolewa akiwa na umri huu
Ukiwa unabishana hiv hivi basi huna tofauti na yeye itakuwa ni maneno yake dhidi yako maneno yako