IRC Channel kwaajili ya Hackers, Linux Gurus na Programmers.

IRC Channel kwaajili ya Hackers, Linux Gurus na Programmers.

Je hapo kuna channel yoyote kati ya hizo umejarbu? Luna iliyokuwa active mpaka sasa..
Je unaweza kushare channellz unazozifaham ambazo zipo active zinazohusu hizi mambo (hacking)?
Kaanzisha kitu kizuri ila naaamini kuna hackers humo ambao hawajui tumia hixo mambo ya hii server.... Nimeingia nimeona tuliiii....

Binafs sina channel ila ni vzr kuwa na channel ambayo ni special kwa hiii mambo
 
Maendeleo mazuri, wachache sana wapo, wengi wanashindwa kujiunga. Mi naona ni uvivu wa kufuatilia namna ya kufanya configurations hizo mpaka kuingia kule. Ni mambo madogo madogo tu.
Kwa wale wasiojua unaweza tumia linux terminal kufanya config ni easy

Linux terminal

sudo apt-get install ssh
sudo apt-get install irssi
Type irssi
Then /connect chat.freenode.net
/nick weka jina lako

/join #channel name

Ur in.

Au kama ngumu tumia android app
 

Attachments

  • Screenshot from 2019-05-07 00-48-19.png
    Screenshot from 2019-05-07 00-48-19.png
    223.7 KB · Views: 28
Back
Top Bottom