Ireland inaunga mkono wito wa kuchunguza matukio ya mauaji yaliyojitokeza kipindi na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania kama ulivyotolewa na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa. @volker_turk
Wataponea wapi!
Wataponea wapi!