Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,848 Reaction score 63,306 Nov 14, 2025 #1 Ireland inaunga mkono wito wa kuchunguza matukio ya mauaji yaliyojitokeza kipindi na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania kama ulivyotolewa na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa. @volker_turk Wataponea wapi!
Ireland inaunga mkono wito wa kuchunguza matukio ya mauaji yaliyojitokeza kipindi na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania kama ulivyotolewa na Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa. @volker_turk Wataponea wapi!
K khm2020 Member Joined Apr 8, 2025 Posts 90 Reaction score 178 Nov 14, 2025 #3 Samuya kazi anayo,D9 tunamng'oa
K konalipin JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,313 Reaction score 2,414 Nov 14, 2025 #4 khm2020 said: Samuya kazi anayo,D9 tunamng'oa Click to expand... Hii ikitokea nitafurahi kichizi