Irene kiwia, Napenda movements zake

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
IRENE KIWIA ALIVYOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MKUTANO MKUU WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA



Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (wa pili kushoto) akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa 69 wa Umoja wa Mataifa (Unga) kwa kushirikiana na Clinton Global Initiative (CGI) uliofanyika mwezi uliopita nchini Marekani.Bi. Kiwia alipata nafashi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano huo uliokuwa na ukijadili maswala mbali mbali ya wanawake na maendeleo, swala ambalo liko karibu sana na kazi zake.Wengine pichani ni Bi. Sheila Tlou (Mwakilishi wa UNAIDS Mashariki na Kusini mwa Africa),Bi. Catharine Taylor (MSH),Bi. Kate Gilmore (UNFPA).

Sehemu ya Wadau wa Mkutano huo.



ANAWEZA AKAWA NA MAPUNGUFU YAKE..ILA NAPENDA MVEMENTS ZAKE. ANA INSPIRE SANA WADOGO ZETU WA KIKE.
 
yani nampenda sana huyu dada toka enzi miss tmk
na sijui urafiki na nancy umeishia wapi maana mwanzo walikua karibu sana
ila sasa hivi siwaoni wote
 
ila mbona sijaona bendera ya bongo
 
yani nampenda sana huyu dada toka enzi miss tmk
na sijui urafiki na nancy umeishia wapi maana mwanzo walikua karibu sana
ila sasa hivi siwaoni wote

Watakua wapo pamoja maana niliona siku moja anahojiwa akasema wana company yao ambayo ni share ya watu watatu yeye,nancy na mwenzao mmoja.Hawaonekani maana hawapendi kujionyesha kama wenzetu na sie
 
Hongera kwa Irene Kiwia...yeye na Hoyce Temu ni warembo wa kuigwa mfano hasa kwenye kazi za jamii, sio hawa kina 'mama ubaya' pasua kichwa!
 
mi najua irene ana mtoto anaitwa zion kazaa na mzungu mmoja hivi na mkubwa kweli mtoto wake anaweza kua ht na 7yrs maan nlimuonaga kwenye bang mda sana
 
dina unaangaliaga movie za kihindi?!&

Kwanini hua naangalia moja moja ,kama Krish,Gaijin,kuch kuchi hota he,na nyingi.za Sharku khan na salma khan
Vipi zimefanyajee!!!
 
Watanzania mna phd ya umbeya! Kudos kwenu!
 
Kwanini hua naangalia moja moja ,kama Krish,Gaijin,kuch kuchi hota he,na nyingi.za Sharku khan na salma khan
Vipi zimefanyajee!!!

hebu waangalie wale wadada waliokuwaga mamiss worl na universe
aishwarya rai miss world94 kazaliwa 73
priyanka miss world 2000 kazaliwa82
lara duta miss universe2000
dia mirza miss asian pacific km sikosei2000
ukiwaona bado vimwari yaani sijui wanakula nini wenzetu
utafkri wa90 muangalie sitti mtemvu linganisha na hao
 
Anajitambua saaana n she knows how to use an opportunity and creating huge network toka bang, frontline mpaka tunas za wanawake.....!!!big up Irene kiwia
 

Mazoezi,diet ya msosii,wana pesa piaa,hawaugui hovyoo,hawana mawazo sanaa,
Lakini sitt kwao wana uwezo lakini sura ngumu kama mtoto wa Maskinii
Nampenda priyanka chopra ule wimbo wake excotic hua najaribishia kuucheza tule tumikono wanavyotuchezesha hhhhaaaa
 

hahaaaaaaa
haya yaani mi ht siwaelewi hawa wa kwetu
yaani wahindi wale wakichukuliwa leo umiss wanashinda tena
ila hapa kwetu sitti na mrs.ck hapana kkaaah
mi nawapenda sana wale wahindi
 
hahaaaaaaa
haya yaani mi ht siwaelewi hawa wa kwetu
yaani wahindi wale wakichukuliwa leo umiss wanashinda tena
ila hapa kwetu sitti na mrs.ck hapana kkaaah
mi nawapenda sana wale wahindi

Hata kina j.lo wana miaka mingu na hawapunguzi miaka lakini wapo super
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…