Irene kiwia, Napenda movements zake

Irene kiwia, Napenda movements zake

mipombe ya ofa na minyama choma ndo vinazeesha

Na kujichubua kunaua seli za ngoz,kuchoropoa na mipombe isio na mpangilio...vyakula pia afu mazoez kwa kiba wema ni kama adhabu.
 
Na kujichubua kunaua seli za ngoz,kuchoropoa na mipombe isio na mpangilio...vyakula pia afu mazoez kwa kiba wema ni kama adhabu.

Usisahau na kupigwa miti ovyoo lazima uzeeke tu
 
yani nampenda sana huyu dada toka enzi miss tmk
na sijui urafiki na nancy umeishia wapi maana mwanzo walikua karibu sana
ila sasa hivi siwaoni wote

Si nasikia walikuwa wanashea bwana baba zuri mwisho wasiku wakaja kugombana baada ya nancy kuwa na mimba ya zuri baba zuri ndo akamtema irene. Walikuwa na kampuni yao ya frontliner wote walikuwa directors na walikuwa wanaandaa yale mashindano ya kisura
 
»Lucas wa bongo5 ndio alikuwa anawapiga 3some kweli ni shigda,mara ya kwanza kumuona ilikuwa 2004 na pia alikuwa amepangishiwa house na mtoto wa waziri maeneo ya Samaki samaki nyumba ya pili kutoka barabarani
»Ila namkubali yupo safi hazeeki kabisa forever young.
 
Alizaa nae nadhani huyo mtoto wa waziri.anawatoto wawil mmoja .5 mwingine cheusi dawa.nadhani alipata mimba wakati 2009 alipokua na kashfa ya kutembea na huyo mtoto wa waziri wakati anamke hii ilitoka kwenye magazeti ya bamaga.nakumbuka ilikua inamsumbua mpaka alikua anashindwa kwenda class pale UDBS alipokua anataka kuchukua masters sijui kama alimaliza.anavimambo vya chinichini huyu dada usiombe.nakumbuka akikosa gari ya kuja shule anakodi la mtu ilimradi tafrani.lakini ndo hivyo tena watu wanamzalisha wanamkimbia.sasa sijui mtoto wa tatu atakuja kuto kwa mzungu tena au cheusi dawa.ila kiujumla anawatoto wawili.


»Lucas wa bongo5 ndio alikuwa anawapiga 3some kweli ni shigda,mara ya kwanza kumuona ilikuwa 2004 na pia alikuwa amepangishiwa house na mtoto wa waziri maeneo ya Samaki samaki nyumba ya pili kutoka barabarani
»Ila namkubali yupo safi hazeeki kabisa forever young.
 
Hongera kwa Irene Kiwia...yeye na Hoyce Temu ni warembo wa kuigwa mfano hasa kwenye kazi za jamii, sio hawa kina 'mama ubaya' pasua kichwa!

Na mama ubaya ni pasua kichwa kwelikweli
 
Watanzania mna phd ya umbeya! Kudos kwenu!

Aisee kumbe nawe umeonaee....nabaki kushangaa wanapataje kujua za ndani za mtu...??
Na ukishajua hizo habari zina tija gani kwako....???
Nikiyaangalia maisha yalivyo kasi nawaza mtu unapataje muda wa kukaa na kuchunguza maisha ya mtu....??
Ngoja tuwaachie ngoswe mambo yao...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wabongo tuna migodi ya umbea.

Hapo mkuu ndio ujiulize huo muda wa kulijenga taifa tutaupata wapi...wakati muda mwingi haya ndiyo yanayotushughulisha akili zetu
Haya unayoyashangaa hapa ndio yanayofanyika sehemu za kazi..kazi haziendi majungu na umbea ndio vimetawala maofisini....
Ukiwa na wananchi wenye fikra kama hizi ni ngumu kupiga hatua kama taifa...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mazoezi,diet ya msosii,wana pesa piaa,hawaugui hovyoo,hawana mawazo sanaa,
Lakini sitt kwao wana uwezo lakini sura ngumu kama mtoto wa Maskinii
Nampenda priyanka chopra ule wimbo wake excotic hua najaribishia kuucheza tule tumikono wanavyotuchezesha
hhhhaaaa
Usisahau kuwa na plastic surgery zinahusika. Hawa warembo matajiri wa kimataifa ni mabingwa wa kuchonga nyuso zao pia.
 
hebu waangalie wale wadada waliokuwaga mamiss worl na universe
aishwarya rai miss world94 kazaliwa 73
priyanka miss world 2000 kazaliwa82
lara duta miss universe2000
dia mirza miss asian pacific km sikosei2000
ukiwaona bado vimwari yaani sijui wanakula nini wenzetu
utafkri wa90 muangalie sitti mtemvu linganisha na hao
Sasa Sitti kazaliwa 1981 kwenye cheti ikakosewa ikaonekana 1991 wee unategemea usoft autoe wapi?Bongo jua siku 365.
 
Back
Top Bottom