Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Na wanaume wanasubiri wapendwe na wanawake ndipo wawaoeSiri moja kubwa ya ndoa yenye amani ni kuolewa na mtu aliyekupenda. Mwanaume anaeheshimu mchanga unaosimamia.
Hata aletewe maneno na ndugu atayadharau, hata ufanye kosa atakusamehe.
Lakini uolewe na mwanaume kisa ana mali, sura ya kuvutia lakini hajakupenda kivile cha moto utakiona.
Hapo ndipo wanapokosea,.jukumu la kupenda ni la mwanaume kwanza na sisi wake tunarudisha kwao upendo kwa UTII sasa wao kama wanasubiri wawapate wanawake wa kuwapenda wao kwanza halafu ndio wao wawapende aisee ndoa zitafukuta kila siku,.na hazitapoa kwasababu tutakuwa tumebadilishana majukumu wakitaka wao wapendwe basi wakubali kututii kitu ambacho hakipo kiuhalisia..Na wanaume wanasubiri wapendwe na wanawake ndipo wawaoe
Ndoa Ni pande mbili bwana, we mheshimu na yeyeMakungwi wa JF, Evelyn Salt, Sky Eclat, Mama Terry, Miss Natafuta, FaizaFoxy, Paloma, @damiss, miss chagga na wengine wengi, sioni mkiandika mada zenye kuokoa ndoa, na za kumfanya mwanamke akae kwenye position yake kama anavyofanya Irene Mbowe?
Wanaume wengi tunasoma mabandiko yake, tunayafurahia, tunatamani na wenzi wetu wawe wenzi bora kama afundishavyo Irene Mbowe.
Mshikaji wangu Arushaone, General Galadudu, ndyoko, Kiranja Mkuu na wengine wengi tunagongana sana kwenye machapisho ya Irene.
Hebu Makungwi wa JF kazeni msuli mfikie standards ambazo tayari Irene Mbowe kisha zi set
Hahaaa ndoa haina formula bwana, na ukipatwa na tatizo ndo utajua haswa hisia zako zipoje sio kusikiliza theory.Makungwi wa JF, Evelyn Salt, Sky Eclat, Mama Terry, Miss Natafuta, FaizaFoxy, Paloma, @damiss, miss chagga na wengine wengi, sioni mkiandika mada zenye kuokoa ndoa, na za kumfanya mwanamke akae kwenye position yake kama anavyofanya Irene Mbowe?
Wanaume wengi tunasoma mabandiko yake, tunayafurahia, tunatamani na wenzi wetu wawe wenzi bora kama afundishavyo Irene Mbowe.
Mshikaji wangu Arushaone, General Galadudu, ndyoko, Kiranja Mkuu na wengine wengi tunagongana sana kwenye machapisho ya Irene.
Hebu Makungwi wa JF kazeni msuli mfikie standards ambazo tayari Irene Mbowe kisha zi set
Sawa kabisa, mtu anahubiri kitu ambavyo yeye mwenyewe hafanyi.Bujibuji JF ni kijiwe nongwa bila shaka ipo siku watakuja tokea hao waelimisha ndoa
Hata hivyo hao kina Irene Mbowe na motivational speakers wengine hiyo kazi wanaifanya kama sehemu ya kuingiza kipato, ni ajira binafsi sio wito...
Umejuaje?Sawa kabisa, mtu anahubiri kitu ambavyo yeye mwenyewe hafanyi.
Unaanza upendo kwanza ndio utii unafuata, hauwezi kumtii MTU usiyempendaHapo ndipo wanapokosea,.jukumu la kupenda ni la mwanaume kwanza na sisi wake tunarudisha kwao upendo kwa UTII sasa wao kama wanasubiri wawapate wanawake wa kuwapenda wao kwanza halafu ndio wao wawapende aisee ndoa zitafukuta kila siku,.na hazitapoa kwasababu tutakuwa tumebadilishana majukumu wakitaka wao wapendwe basi wakubali kututii kitu ambacho hakipo kiuhalisia..
Au ndiye miss chagga?Nilitaka niwatajie ID ya Irene Mbowe JF ila sheria inakataza "name mentioning" ngoja nione anavyowachora
Siri moja kubwa ya ndoa yenye amani ni kuolewa na mtu aliyekupenda. Mwanaume anaeheshimu mchanga unaosimamia.
Hata aletewe maneno na ndugu atayadharau, hata ufanye kosa atakusamehe.
Lakini uolewe na mwanaume kisa ana mali, sura ya kuvutia lakini hajakupenda kivile cha moto utakiona.
Nimesoma huko FB pia daah; Mungu akawe nguvu na nguzo yakeNasikia huyu mama amefiwa na mume wake. Mungu amfariji aisee
Makungwi wa JF, Evelyn Salt, Sky Eclat, Mama Terry, Miss Natafuta, FaizaFoxy, Paloma, Demiss, miss chagga na wengine wengi, sioni mkiandika mada zenye kuokoa ndoa, na za kumfanya mwanamke akae kwenye position yake kama anavyofanya Irene Mbowe?